NA MHARIRI UFISADI umekuwa maradhi yanayosababisha uchumi na ustawi wa taifa letu kuendelea kudidimia, kiasi cha viongozi kufeli...
NA DOUGLAS MUTUA UBAGUZI uliojikita katika rangi ya watu haujawa na manufaa yoyote kote duniani, lakini mwanadamu na upumbavu wake haishi...
NA CHARLES WASONGA MNAMO Jumatano wiki hii, Bunge la Seneti lilianza kuchunguza zabuni tata ambazo zilitiwa saini na kampuni za kibinafsi...
NA MHARIRI KWA muda sasa, kinara wa Azimio la Umoja-One Kenya, Raila Odinga amekuwa akitishia kuisukuma serikali ya Rais William Ruto...
NA KINYUA KING’ORI KENYA ni taifa lenye utajiri na uwezo mkubwa kiuchumi, licha ya wananchi kuonekana kulemewa na hali ngumu ya...
NA JURGEN NAMBEKA WAKAZI wa kisiwa cha Dongo Kundu katika Kaunti ya Kilifi hivi majuzi walijitokeza kulalamikia kutokamilishwa kwa daraja...
NA MHARIRI KAULI ya Msimamizi wa Bajeti bungeni kwamba alilazimishwa kuruhusu matumizi ya Sh15 bilioni na utawala wa rais mstaafu Uhuru...
NA WANDERI KAMAU KATIKA mpangilio wa kiutawala uliopo nchini kwa sasa, Kiongozi wa Wengi katika Seneti ni mtu mwenye ushawishi sana....
NA CECIL ODONGO KATIBU Mkuu wa chama cha United Democratic Alliance (UDA), Cleophas Malala, anaonekana kulewa mamlaka kiasi cha kutoa...
NA MHARIRI KATIKA demokrasia nyingi zinazostawi, wanasiasa wanaojiona kuwa karibu na utawala hujisahau na kupita mipaka yao. Hujiona...
NA WANDERI KAMAU JE, ni lini tutazikumbuka jamii ndogo nchini? Ni lini watu wachache watapata usemi wao katika jamii? Ni lini mchango...
NA MHARIRI KATIKA mikutano yao tangu waingie Ikulu, Rais Ruto na naibu wake Gachagua wamekosa kutilia manani changamoto zinazokabili...