NA MHARIRI KATIKA mikutano yao tangu waingie Ikulu, Rais Ruto na naibu wake Gachagua wamekosa kutilia manani changamoto zinazokabili...
NA MHARIRI TIMU ya raga ya wachezaji saba kila upande almaarufu Kenya Shujaa imehangaika kwenye Raga za Dunia za msimu...
NA WANDERI KAMAU MTU anapofanya vizuri ikilinganishwa na vitendo vyake vya awali, anafaa kupongezwa kwa kuimarisha vitendo ama mwelekeo...
NA DOUGLAS MUTUA HIVI haramu imehalalishwa, yaani ushoga ukaidhinishwa kisheria nchini Kenya? Hii ninayosikia ni mihemko ya kawaida tu...
NA CECIL ODONGO AFISI za wake wa Naibu Rais Rigathi Gachagua na Kinara wa Mawaziri Musalia Mudavadi, zifutiliwe mbali. Wiki jana, Bw...
NA WANDERI KAMAU KUNA ukimya mkuu uliotanda kila sehemu nchini. Ukimya mkubwa! Ukimya ambao unaifanya vigumu kuamini ikiwa kuna serikali...
NA MHARIRI INASIKITISHA kuwa baadhi ya Wakenya waliosambazia serikali bidhaa au kutoa huduma wamekufa kutokana na hasa tatizo la kimawazo...
NA JURGEN NAMBEKA RAIS William Ruto alizuru Pwani kuzindua ujenzi wa kiwanda cha gesi aina ya LPG katika eneo la Dongo Kundu. Wakati wa...
NA MHARIRI TAKWIMU zinazojitokeza kuhusu hali ya kiangazi nchini ni za kusikitisha. Ziwa Turkwell katika Kaunti ya Turkana ni la punde...
NA WANDERI KAMAU LICHA ya matatizo kadhaa yaliyokumba utawala wake, mojawapo ya mafanikio aliyopata Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta ni kubuni...
NA CECIL ODONGO BAADA ya uchaguzi mkuu wa 2007, William Ruto pamoja na Uhuru Kenyatta walishiriki msururu wa mikutano ya maombi kuhusu...
NA MHARIRI RIPOTI zimeibuka kuwa wanafunzi wa Gredi ya 7, ambao ndio waasisi wa mfumo mpya wa elimu (CBC), hawafundishwi ipasavyo kutokana...