• Nairobi
  • Last Updated December 3rd, 2023 7:00 PM

Maguire alivyofanya ‘ile kitu’ mara hii kwa timu ya Uingereza!

GLASGOW, Scotland Kocha Gareth Southgate wa timu ya Uingereza amemtetea mlinzi Harry Maguire dhidi ya mashabiki waliomfokea vikali baada...

Aibu Kenya ikilimwa na Sudan Kusini nyumbani Kasarani

Na CECIL ODONGO Mashabiki wa soka nchini jana waliondoka uwanjani Kasarani kwa ghadhabu na aibu baada ya timu ya taifa Harambee Stars...

Simiu apasha misuli moto akimezea mate mamilioni ya Delhi Half Marathon

Na GEOFFREY ANENE MKENYA Daniel Simiu ameingia katika kinyang’anyiro cha Vedanta Delhi Half Marathon nchini India ambapo kuna tuzo ya...

Wambua ataja wanaraga sita wapya Kenya Shujaa ikielekea mawindoni Kombe la Afrika

NA GEOFFREY ANENE KOCHA Kevin ‘Bling’ Wambua amejumuisha wachezaji sita wapya katika kikosi cha mwisho cha Kenya Shujaa...

Nanjala kupiga jeki maandalizi ya Harambee Starlets gozi la WAFCON licha ya tetemeko kumuathiri kisaikolojia

NA TOTO AREGE MSHAMBULIZI matata wa Harambee Starlets Violet Nanjala anatarajiwa kuingia kambini Ijumaa wiki hii, kwa maandalizi ya...

Omanyala atetemesha kwenye mbio za mita 100 katika mashindano ya Zagreb Continental Gold Tour

Na GEOFFREY ANENE BINGWA wa Afrika na Jumuiya ya Madola mbio za mita 100, Ferdinand Omanyala ameibuka mfalme wa Boris Hanzekovic Memorial...

Nondies, Kabras na KCB waingia 8-bora katika duru ya Kabeberi 7s

Na GEOFFREY ANENE NONDESCRIPTS, Kenya Harlequin, Nakuru, Strathmore Leos, Kabras Sugar, Mwamba, KCB na Menengai Oilers mnamo Jumamosi...

Fountain Gates ya TZ yamsajili mshambulizi Topister Situma wa Harambee Starlets

NA TOTO AREGE TIMU ya soka ya wanawake ya Fountain Gates Princess ya Tanzania, imemsajili mshambulizi wa Harambee Starlets Topister Situma...

Mwanahabari maarufu wa michezo Sean Cardovillis aaga dunia

NA GEOFFREY ANENE MTANGAZAJI wa zamani wa Shirika la Habari la Nation (NMG), Sean Cardovillis ameaga dunia. Mwanahabari huyo mtajika wa...

Chipukizi Kibet azoa tuzo ya SJAK

NA GEOFFREY ANENE CHIPUKIZI Aldrine Kibet sasa analenga juu zaidi baada ya kupata motisha ya kuibuka Mwanamichezo Bora wa Agosti katika...

Kocha Beldine Odemba ataja wachezaji 30 wa kuwinda tiketi ya WAFCON

NA TOTO AREGE KOCHA mpya wa timu ya taifa ya Harambee Starlets, Beldine Odemba mnamo Jumanne ametaja kikosi cha wachezaji 30 kwa...

Millicent Omanga atiririkwa na machozi Man U ikicharazwa mabao matatu na Arsenal

NA MWANGI MUIRURI WAZIRI Msaidizi (CAS) mteule wa Idara ya Usalama, Millicent Omanga anaomboleza kichapo ambacho Manchester United...