NA MWANGI MUIRURI WAZIRI Msaidizi (CAS) mteule wa Idara ya Usalama, Millicent Omanga anaomboleza kichapo ambacho Manchester United...
NA CECIL ODONGO MABINGWA watetezi Gor Mahia walidhihirisha ubabe wao baada ya kuliza Ulinzi Stars 1-0 kwenye mechi kali ya Ligi Kuu...
NA TOTO AREGE KOCHA mpya wa Harambee Starlets Beldine Odemba, ametwikwa majukumu ya kuiongoza Starlets kwa mechi mbili za kufuzu kwa Kombe...
Na GEOFFREY ANENE MABINGWA wa Ligi ya Uropa 1972-1973, 1975-1976 na 2001-2001, Liverpool wametiwa katika kundi rahisi la makala ya msimu...
Na MASHIRIKA NEWCASTLE United watamenyana na vigogo Paris St-Germain (PSG), Borussia Dortmund na AC Milan katika hatua ya makundi ya Klabu...
Na MASHIRIKA KOCHA Gareth Southgate wa timu ya taifa ya Uingereza amejumuisha wanasoka Jordan Henderson na Harry Maguire katika kikosi...
Na MASHIRIKA HUKU Newcastle United wakipewa miamba wa haiba katika hatua ya makundi ya gozi la Klabu Bingwa Ulaya (UEFA), Manchester...
Na GEOFFREY ANENE BINGWA wa zamani wa New York City Marathon, Geoffrey Kamworor, atatumia mbio za Great North Run mjini Newcastle nchini...
NA TOTO AREGE TIMU ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Queens kutoka Tanzania, itawakilisha Mashirikisho ya Soka Afrika Mashariki na Kati...
Na GEOFFREY ANENE ZAIDI ya wachezaji 280 wa gofu watakusanyika katika uwanja wa klabu ya gofu ya Ruiru katika kaunti ya Kiambu kuwania...
NA TOTO AREGE VIHIGA Queens wanapania kuaga dimba la Mashirikisho ya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) kwa kishindo watakapomenyana...
NA CECIL ODONGO KOCHA wa Harambee Stars Engin Firat amekashifiwa vikali kwa kuwaacha nje wachezaji wa Gor Mahia, AFC Leopards na Tusker...