• Nairobi
  • Last Updated June 12th, 2024 4:24 PM

Liverpool, Chelsea wafufuka muda ukiyoyoma huku Spurs wakizama

NA MASHIRIKA KOCHA wa Chelsea Mauricio Pochettino anasema, lengo lake sasa ni kufukuzia kushiriki katika mechi za Europa League msimu...

Presha kwa Arsenal ikihitaji pointi 2 kumaliza EPL katika nafasi ya 2

Na MWANGI MUIRURI KLABU ya Arsenal inahitaji pointi mbili pekee katika mechi zake mbili ilizosalia nazo katika Ligi Kuu ya Uingereza...

Kocha Jurgen Klopp kagombana na hawa wachezaji sita

NA LABAAN SHABAAN KOCHA Jurgen Klopp ni mtu mwenye msimamo thabiti, sifa inayomfanya asiwe mgeni wa kugombana na baadhi ya wachezaji wa...

Mnyama Haaland ‘aua Arsenal’ kwa kuongoza Man City kukomoa Wolves 5-1

Na MWANGI MUIRURI BAADA ya mashabiki wa Arsenal kutegemea Wolverhampton Wonderers (Wolves) iwashikie Manchester City katika mchuano wa...

Murang’a Seal yalazwa kwao ‘kejani’ 3-1 na K’Ogalo

Na MWANGI MUIRURI  KLABU ya Gor Mahia kinyume na adabu za mgeni mnamo Jumamosi, imezuru Kaunti ya Gavana Irungu Kang'ata kuvaana na...

Arsenal yaomba Wolves ifanye mambo dhidi ya Man City

Na MWANGI MUIRURI BAADA ya Arsenal kutandika Bournemouth magoli 3-0 katika uga wa Emirates Jumamosi mchana, sasa mashabiki wake...

Arsenal yanyemelea Joshua Zirkzee anayesemekana kumzidi Haaland

Na GEOFFREY ANENE ARSENAL FC wako tayari kujitokeza kwa nguvu sokoni mara tu kipindi kirefu cha uhamisho kitafunguliwa Juni 10, 2024,...

NYOTA WA WIKI: Jadon Sancho

NA GEOFFREY ANENE JADON Sancho alitawazwa mchezaji bora na tovuti ya Flashscore wakati Borussia Dortmund ilinyuka Paris Saint-Germain...

Macho kwa Arsenal na Manchester City EPL ikichacha

Na MASHIRIKA LONDON, UINGEREZA: VIONGOZI Arsenal na nambari mbili Manchester City wanaalika Bournemouth na Wolves mtawalia, kila mmoja...

Arsenal yapoteza matumaini ya Tottenham kuishikia Man City

NA MWANGI MUIRURI MATUMAINI ya Arsenal kutwaa taji la Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) baada ya kungoja kwa miaka zaidi ya 20 yako kwa...

‘Mlimnunua Jadon Sancho mkashindwa kumtumia’

NA LABAAN SHABAAN KLABU ya Borussia Dortmund inayoshiriki Ligi Kuu Ujerumani imerusha cheche kwa klabu mojawapo, ikidai inafaa kumuomba...

Lengo ni kubeba taji la wazito Uefa – Kane

NA MASHIRIKA MUNICH, Ujerumani MUDA mfupi baada ya kufungia Bayern Munich bao wakicheza na Real Madrid mnamo Jumanne usiku, mshambuliaji...