• Nairobi
  • Last Updated May 29th, 2023 9:37 PM

Uhuru alivyozamisha merikebu ya Jubilee

NA WANDERI KAMAU MVUTANO na mzozo unaoshuhudiwa katika Chama cha Jubilee (JP) umetajwa kuchangiwa na hatua ya Rais Mstaafu Uhuru...

Raila sasa atangaza maandamano upya

NA CHARLES WASONGA KIONGOZI wa Azimio la Umoja-One Kenya Raila Odinga jana Ijumaa alitangaza rasmi kwamba, maandamano yatarejea Jumanne...

Raila arudi na joto la maandamano

CECIL ODONGO Na LEONARD ONYANGO KINARA wa Azimio, Raila Odinga leo anatarajiwa kutoa mwelekeo mpya kuhusu mkondo wa maandamano pindi...

Uhuru amtolea Ruto kucha

NA JUSTUS OCHIENG RAIS (Mstaafu) Uhuru Kenyatta, jana Jumatano alilazimika kufika ghafla katika makao makuu ya chama cha Jubilee...

Raila kukaribishwa kwa heshima na taadhima atakaporejea kutoka Dubai

NA CHARLES WASONGA KIONGOZI wa Azimio la Umoja-One Kenya Raila Odinga anatarajiwa kupewa makaribisho ya heshima na taadhima Ijumaa...

Jubilee, KUP hawana mkataba na muungano wa Kenya Kwanza – Msajili

NA CHARLES WASONGA MSAJILI wa Vyama vya Kisiasa Ann Nderitu amefafanua kuwa hamna mkataba wa maelewano kati ya vyama vya Kenya Union...

Azimio kurejelea maandamano jijini Nairobi

NA CHARLES WASONGA MUUNGANO wa Azimio La Umoja-One Kenya umetangaza utarejelea maandamano ya amani Jumanne wiki ijayo, Mei 2,...

Ruto amvizia Raila ‘nyumbani’ kwake

GEORGE ODIWUOR Na BENSON MATHEKA RAIS William Ruto anaendelea na mikakati ya kijanja yenye lengo la kupenya ngome za kinara wa Azimio la...

Kenya Kwanza wameonyesha nia mbaya – Azimio

NA BENSON MATHEKA MUUNGANO wa Azimio la Umoja One Kenya umejiondoa katika mazungumzo ya maridhiano bungeni ukisema kwamba, serikali ya...

Kalonzo hasaidiki, adai Rais

NA MARY WANGARI RAIS William Ruto amefichua jinsi alivyojaribu bila mafanikio kumwokoa kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka kutokana na...

Azimio yapeleka ajenda kwa MCAs

NA FRED KIBOR MVUTANO unanukia kati ya madiwani na Serikali kuhusu masuala mbalimbali licha ya kwamba mazungumzo kati ya mirengo ya Rais...

Ruto: Kalonzo alikataa kuingia boksi

NA MARY WANGARI RAIS William Ruto amefichua jinsi alivyojaribu bila mafanikio kumwokoa kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka kutokana na...