• Nairobi
  • Last Updated June 12th, 2024 4:24 PM

Waititu: Mlima Kenya kutoa mgombea urais 2027

NA MWANGI MUIRURI ALIYEKUWA Gavana wa Kiambu Ferdinand Waititu amesema haoni faida ya watu wa Mlima Kenya kuunga mkono mtu kutoka nje ya...

Kongamano la Limuru III laanza viongozi Mlima Kenya wakitoa kauli zao

NA MWANGI MUIRURI KONGAMANO lililosubiriwa kwa hamu na ghamu la Limuru III hatimaye limeng'oa nanga rasmi. Limeanza kwa maombi kutoka...

Mswada wa Fedha: Spika Weta awasuta wabunge kwa kulialia hadharani

NA JESSE CHENGE SPIKA wa Bunge la Kitaifa Moses Wetang'ula amewasihi Wabunge, hasa wa upinzani, kuacha kulialia kuhusu Mswada wa Fedha...

Dorcas Rigathi aonya wanasiasa Murang’a ‘yote ni bure bila kujuana na Mungu’

NA MWANGI MUIRURI MKE wa Naibu Rais Rigathi Gachagua, Pasta Dorcas Rigathi amewashauri baadhi ya wanasiasa wa Murang'a kwanza wautafute...

Jinsi njama ya kuua Azimio ilivyotibuka

NA COLLINS OMULO MABADILIKO ya kisiri yaliyofanyiwa miswada ya kufanikisha utekelezaji wa ripoti ya Kamati ya Kitaifa ya Mazungumzo...

Hotuba ya Rais: Wengi walitarajia atoe nyaunyo kwa makateli serikalini

NA MWANGI MUIRURI BAADA ya serikali ya Kenya Kwanza inayoongozwa na Rais William Ruto kukabiliwa na changamoto tele katika siku za hivi...

Ubabe wa kisiasa wa Gachagua na Ndindi Nyoro wachipuka upya

NA MWANGI MUIRURI VITA vya kiubabe katika siasa za Mlima Kenya kati ya Naibu Rais Rigathi Gachagua na Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro...

Wimbi la mbunge Caleb Amisi lafanya mambo magumu kwa Mudavadi, Weta

NA EVANS JAOLA SIKU chache tu baada ya Gavana wa Trans Nzoia kuzindua harakati za msisimko wa kisiasa eneo la Magharibi akisuta Mkuu wa...

Wadau wapinga baadhi ya mapendekezo kwenye mswada wa marekebisho ya sheria ya IEBC ya 2024

SAMWEL OWINO Na CHARLES WASONGA WADAU kadha wamepinga baadhi ya mapendekezo yaliyomo katika mswada unaolenga kuleta mabadiiliko katika...

Raila, Ruto watofautiana kuhusu ubadilishaji matokeo

NA CHARLES WASONGA RAIS William Ruto na kiongozi wa Azimio la Umoja-One Kenya Raila Odinga Jumamosi walitofautiana kuhusu iwapo marehemu...

Mvutano wa Wetang’ula na Natembeya waanza kutoa usaha

NA EVANS JAOLA MAAFISA wanne wa serikali ya Kaunti ya Trans Nzoia mnamo Jumanne walihojiwa katika makao makuu ya Idara ya Kuchunguza...

Team Kusikiza Ground: Vuguvugu jipya la kutetea masilahi ya ‘Wanjiku’

NA CHARLES WASONGA TAKRIBAN wabunge sita kutoka vyama vitatu wamebuni muungano mpya kuhakiki utendakazi wa serikali, wakidai upinzani...