FUNGUKA: ‘Yote kwa raha zangu’

Na PAULINE ONGAJI KATIKA ulimwengu wa uhuru wa kuchagua na kufurahia chochote kinachochochea mahaba, bila shaka hakuna nafasi ya...

FUNGUKA: ‘Sitoi hata ndururu’

Na PAULINE ONGAJI TANGU zamani, mzigo wa kukidhi mahitaji ya kifedha ya familia, umekuwa ukielekezewa mwanamume. Lakini kwa Jason,...

FUNGUKA: ‘Uungwana achia wazee wa kanisa’

Na PAULINE ONGAJI KRIS 48, ameoa na kutalikiana mara tisa na anakiri kuwa sasa hana haja na wanawali bali tamaa yake ni wake za...

FUNGUKA: ‘Haja yangu pesa tu!’

Na PAULINE ONGAJI KATIKA mazingira haya magumu ya kiuchumi, harusi imekuwa shughuli ghali kwa wengi ambapo ni wachache walio na uwezo wa...

FUNGUKA: ‘Najua mtasema ni wazimu…!’

Na PAULINE ONGAJI KATIKA masuala ya mahaba, watu wamejulikana kujihusisha na mambo tofauti ili kushibisha kiu yao ya mapenzi. Mengine...

FUNGUKA: ‘Nacheza mechi za majuu pekee’

Na PAULINE ONGAJI KWA wengi suala la mahusiano ya pembeni katika ndoa haliruhusiwi kamwe. Lakini licha ya haya, kuna baadhi ya...

FUNGUKA: ‘Dume kivuruge namba wani…!’

Na PAULINE ONGAJI WANAPOHOJIWA kuhusu sifa za mwanamume bora, kwa wanawake wengi, ukorofi hauwezi ukajumuishwa kwenye orodha...

FUNGUKA: ‘Mapenzi mtandaoni…raha!

Na PAULINE ONGAJI UHUSIANO wa mapenzi na hata hatimaye ndoa mara nyingi huwa thabiti ikiwa wahusika wanaishi pamoja. Ndiposa wapenzi...

FUNGUKA: ‘Mahaba ya video yanitosha’

Na PAULINE ONGAJI KATIKA jamii nyingi, mahaba, kwa viwango vya kawaida, huhusisha mgusano baina ya wapendanao. Lakini huku wengine...

FUNGUKA: ‘Usinihukumu; napenda kuvalia mavazi ya kike’

Na PAULINE ONGAJI KATIKA ulimwengu huu uliojaa vituko kila kuchao, hata katika masuala ya mahaba, maajabu hayakosi. Na hakuna...

FUNGUKA: ‘Si uchizi, ni raha zangu…’

Na PAULINE ONGAJI HIVI majuzi nilipata fursa ya kukutana na binti mmoja kwa jina Mercy. Binti huyu mwenye umri wa miaka 45 hajawahi...

FUNGUKA: ‘Sauti nyororo huniyeyusha mzima’

Na PAULINE ONGAJI MABINTI wengi watakuambia kwamba mojawapo ya sifa zinazowavutia kwa wanaume ni sauti nzito, ambayo mara nyingi...