Mabasi yarejelea safari zao za usiku, serikali ikijikokota kutoa mwongozo

WANDERI KAMAU na KIPKOECH CHEPKWONY WAKENYA bado wamechanganyikiwa kuhusu ikiwa wanapaswa kurejelea biashara zao huku kampuni za mabasi...

Agizo mabasi yanayohudumu Kaskazini Mashariki yasindikizwe na polisi

JACOB WALTER na MERCY MWENDE SERIKALI imetoa agizo kwamba mabasi ya uchukuzi wa umma yanayohudumu maeneo ya Kaskazini Mashariki mwa nchi...

ONYANGO: Isiwe mabasi ya NYS ni ya kunufaisha watu fulani

Na LEONARD ONYANGO HATUA ya Shirika la Huduma ya Vijana kwa Taifa (NYS) kujitosa katika sekta ya usafiri wa umma jijini Nairobi imezua...

Shule zisizopaka mabasi yao rangi ya manjano kuona cha moto

Na RICHARD MUNGUTI SERIKALI itayatwaa mabasi yote ambayo hayatakuwa yamepakwa rangi ya manjano kuanzia Jumanne. Waziri msaidizi wa Elimu...

Shule mbioni kupaka mabasi rangi ya manjano muda ukiyoyoma

KALUME KAZUNGU na WANDERI KAMAU Kwa ufupi: Dkt Fred Matiang’i alitoa agizo kwamba lazima mabasi ya shule zote za msingi na upili...

Polo aachilia mkojo ndani ya basi safarini

Na TOBBIE WEKESA TULIENGE, BUNGOMA ABIRIA waliokuwa wakisafiria basi moja walipigwa na mshangao baada ya polo kuachilia mkojo ndani...

Madereva Lamu wapinga ada ya vizuizi kuongezwa

NA KALUME KAZUNGU MADEREVA na utingo wa mabasi ya usafiri wa umma yanayotumia barabara ya Lamu kuekelea Mombasa wameilalamikia serikali ya...