• Nairobi
  • Last Updated October 1st, 2023 9:40 PM

Harusi yasababisha vifo vya watu 7

Na AFP HARUSI moja eneo la mashambani la Maine ilichangia maambukizi ya virusi vya corona na kusababisha vifo vya watu saba na wengine...

Waliofumaniwa harusini watengwa kwa lazima kwa gharama yao

Na MARY WANGARi Kioja kilizuka Jumaatatu baada ya maafisa wa polisi kuwafumania wanawake 39 harusini licha ya marufuku ya serikali dhidi...

Wafurahia harusi yao licha ya amri za corona

Na Lawrence Ongaro HARUSI ya kipekee ilifanyika mjini Thika Jumatatu na kuhudhuriwa na watu 15 pekee. Hii ni kutokana na sheria mpya...

Imam aoa mwanamume akidhani ni mwanamke

Na DAILY MONITOR MHUBIRI wa Kiiislamu nchini Uganda aliyeoa mwanamume akidhani ni mwanamke amesimamishwa kazi. Sheikh Mohammed...

Wanyimwa mlo kwa kusengenya bi harusi

Na LEAH MAKENA KAYOLE, NAIROBI AKINA mama waliohudhuria harusi ya mtaani walipata aibu ya mwaka waliponyimwa mlo. Watano hao...

Bwana harusi akata tamaa ya kuishi baada ya mlipuko kuwaua 63 kwenye sherehe yake

NA AFP BWANA harusi ambaye sherehe yake ilikatizwa na mlipuaji wa kujitoa mhanga mjini Kabul, amesema amepoteza matumaini ya kuendelea...

Mshukiwa alipa dhamana na kuchomoka mbio akaoe

Na RICHARD MUNGUTI IFIKAPO Jumamosi Agosti 3 kengele za harusi zitalia ambapo mmoja wa washukiwa 12 wanaoshtakiwa pamoja na Gavana wa...

Mshukiwa alaani kesi ya Waititu kuvuruga harusi yake

Na RICHARD MUNGUTI MMOJA wa washukiwa 12 wanaoshtakiwa pamoja na gavana wa Kiambu Ferdinand Waititu 'Baba Yao' kwa kashfa ya Sh588...

Wilfred Ndidi afunga pingu za maisha

MASHIRIKA na GEOFFREY ANENE KIUNGO wa Super Eagles ya Nigeria na klabu ya Leicester City, Wilfred Ndidi sasa ameasi ukapera. Kwa mujibu...

Deni lasimamisha harusi ghafla

Na MWANDISHI WETU SOSIET, KERICHO ? Siku iliyotarajiwa kuwa ya furaha tele iligeuka kuwa yenye huzuni nyingi mzee alipositisha harusi...

Buda avuruga harusi ya binti akidai mahari

Na SAMMY WAWERU KARATINA, NYERI HAFLA moja ya harusi mtaani hapa ilisimamishwa kwa muda baba ya kipusa alipozua balaa akitaka kulipwa...

Purukushani harusini kidosho akidai kuwa mke wa bwana harusi

Na MAGDALENE WANJA Kizaazaa kilitokea harusini mjini Nakuru wakati mwanamke mwenye umri wa miaka 21 alijitokeza akidai kwamba alikuwa...