• Nairobi
  • Last Updated June 12th, 2024 4:24 PM

JAMVI: Chama cha Kingi hatarini kufungiwa nje kura ijayo

Na LEONARD ONYANGO CHAMA cha Pamoja African Alliance (PAA) chake Gavana wa Kilifi Amason Kingi kiko katika hatari kubwa ya kuzuiliwa...

JAMVI: Limuru III: Changamoto tele Mlima ukijaribu kuja pamoja

Na WANDERI KAMAU JUHUDI za kuliunganisha eneo la Mlima Kenya ielekeapo 2022 zinaonekana kukumbwa na changamoto tele, wadadisi wakisema...

JAMVI: Kuna hatari ya Raila ‘kujikwaa’ kisiasa kwa kumtetea Rais

Na WANDERI KAMAU KUMEIBUKA hofu huenda kutajwa kwa Rais Uhuru Kenyatta kuwa miongoni mwa watu walioficha mabilioni ya fedha ng’ambo...

JAMVI: Huyu atakayembwaga Ruto Mlimani ni nani?

Na BENSON MATHEKA MABWANYENYE kutoka Mlima Kenya wanaodadisi wagombeaji urais wanakabiliwa na kibarua kigumu kumuidhinisha atakayeweza...

JAMVI: Nyota ya kisiasa ya Karua inaingia doa?

Na WANDERI KAMAU HATUA ya kutangazwa kwa kiongozi wa Narck-Kenya, Bi Martha Karua, kama kaimu msemaji wa ukanda wa Mlima Kenya, imeibua...

JAMVI: Mtihani mgumu wamsubiri Ruto kuhusu miungano

Na CHARLES WASONGA MSIMAMO wa Naibu Rais William Ruto kwamba chama cha United Democratic Alliance (UDA) hakitabuni muungano na vyama...

JAMVI: Waiguru njiapanda katika kivumbi cha 2022

Na WANDERI KAMAU GAVANA Anne Waiguru wa Kirinyaga yupo kwenye njiapanda kuhusu mwelekeo wa kisiasa atakaofuata, uchaguzi mkuu wa 2022...

JAMVI: Oparanya upanga wa kuifyeka mizizi ya OKA Magharibi

Na CHARLES WASONGA MASWALI mengi yameibuliwa kuhusu sababu ya kushirikishwa kwa Gavana wa Kakamega Wycliffe Oparanya katika mikutano...

JAMVI: Ruto kukabiliwa na mtihani mkali 2022 bila ya miungano

Na WANDERI KAMAU "NI kinaya kuwa Bw Mwangi Kiunjuri na Bw Moses Kuria ndio wanaoongoza harakati za kushinikiza muungano wa kisiasa...

JAMVI: Misimamo mikali OKA inaweza kuwafaidi au kuwabomoa 2022

Na BENSON MATHEKA MSIMAMO mkali wa baadhi ya vinara wanaosuka muungano wa One Kenya Alliance (OKA) wa kukataa kumuunga kiongozi wa chama...

Vigogo wanavyoviziana kuwania ubabe 2022

Na BENSON MATHEKA Vigogo wa kisiasa wanaomezea mate urais wanaendelea kuviziana kila moja akisubiri kuona hatua ambayo mwenzake...

JAMVI: Namna Raila anapanga kuyumbisha akina OKA

Na BENSON MATHEKA KIONGOZI wa chama cha ODM Raila Odinga ameweka mikakati tosha ya kuyumbisha muungano wa One Kenya Alliance (OKA)...