• Nairobi
  • Last Updated April 17th, 2024 7:55 PM

MCK yalaani mauaji katili ya mwanahabari wa KBC

WANDERI KAMAU na VINCENT ACHUKA BARAZA la Vyombo vya Habari (MCK) jana limekashifu vikali mauaji ya kikatili dhidi ya Bi Betty Barasa,...

Taharuki watu watatu wakiuawa Kenol

Na MWANGI MUIRURI Wakazi wa mji wa Kenol ulioko Kaunti ya Murang’a Jumatatu wameamkia kisanga cha watu watatu kuuliwa kinyama na kisha...

Fida-K yalalamikia ongezeko la mauaji ya wanawake Kenya

Na BENSON MATHEKA SHIRIKISHO la mawakili wanawake nchini (Fida- Kenya), limeitaka serikali kulinda wanawake na wasichana na kukomesha...

Uchunguzi waanzishwa kufuatia kifo cha mfanyabiashara Thika

Na MWANGI MUIRURI IDARA ya polisi imeanzisha uchunguzi kufuatia kifo cha mfanyabiashara mmoja Thika, ambapo mwili wake ulipatikana akiwa...

Shahidi katika kesi ya ufisadi apatikana ameuawa

Na KITAVI MUTUA AFISA wa cheo cha juu katika Tume ya Kitaifa ya Ardhi (NLC) Jennifer Itumbi Wambua, ambaye jana mwili wake ulipatikana...

Waliomuua msichana 9, wakimtoa mapepo wakamatwa

NA MARY WANGARI DELGODA, Sri Lanka POLISI nchini Sri Lanka walisema Jumanne, Machi 2, 2021, kuwa wamewakamata watu wawili kuhusiana...

Mfanyabiashara aliuawa kinyama – Uchunguzi

Na MARY WAMBUI UCHUNGUZI wa maiti ya mfanyabiashara Caroline Wanjiku Maina umefichua kuwa alifariki kutokana na majeraha mabaya utosini...

Akamatwa baada ya kuua mkewe na watoto wake wawili

Na BENSON MATHEKA Maafisa wa Uchunguzi wa Uhalifu (DCI) Kaunti ya Embu wanachunguza kisa ambapo mwanamume anashukiwa kumuua mkewe mwenye...

KING’ORI: Visa vya wanafunzi kushambulia walimu lazima vidhibitiwe

NA KINYUA BIN KING'ORI WANAFUNZI wamerejea shuleni juzi tu baada ya kukaa nyumbani kwa takriban miezi tisa kutokana na janga la...

SAMMY WAWERU: Visa vya askari kujiua na kuangamiza wenzao vichunguzwe

Na SAMMY WAWERU KATIKA siku za hivi karibuni visa vya askari kujiua kwa silaha wanazotumia kuimarisha usalama na pia kuangamiza wenzao...

Polisi akana kumuua mwenzake kituoni

Na RICHARD MUNGUTI AFISA wa polisi aliyempiga risasi 10 rafikiye ndani ya kituo cha polisi baada ya kutafuna miraa Jumatano alishtakiwa...

Mwanamume wa familia ya Rais Kenyatta auawa Gatundu

Na MARY WAMBUI WAPELELEZI wanachunguza kisa cha mauaji tatanishi ya Joseph Njuguna Mbeca, jamaa wa marehemu Chifu Mkuu Muhoho...