• Nairobi
  • Last Updated April 15th, 2024 2:58 PM

Pombe ya mnazi yaleta dhuluma kwa wasichana

Na MAUREEN ONGALA WATETEZI wa haki za watoto Pwani wameeleza wasiwasi kuhusu dhuluma zinazotekelezwa dhidi ya wasichana katika maeneo ya...

‘Sherehe’ kwa walevi baa 1,800 zikitakiwa kuuza pombe yao yote leo

Na WAIKWA MAINA WAMILIKI wa zaidi ya baa 1,800 katika Kaunti ya Nyandarua ambao leseni zao za kibiashara hazikuongezewa muda, wametakiwa...

Pombe haramu lita zaidi ya 300 yaharibiwa katika mitaa mitatu ya mabanda

Na SAMMY KIMATU WASHUKIWA watatu walikamatwa huku lita zaidi ya 300 za pombe haramu zikiharibiwa katika mitaa mitatu ya mabanda, Kaunti...

Wanawake watwaa majukumu ya kiume wazee wakilewa tu!

WANDERI KAMAU na STEVE NJUGUNA ATHARI za matumizi ya mihadarati miongoni mwa vijana katika eneo la Mlima Kenya zimeanza kupita mipaka...

Walevi Gatundu waasi pombe kujishughulisha na kazi za manufaa

Na LAWRENCE ONGARO WALEVI katika kaunti ndogo ya Gatundu wameasi unywaji wa pombe haramu na kujihusisha na kazi za ujenzi wa...

Waliotia ‘mchele’ kwa pombe ya mteja wakamatwa

Na GEORGE MUNENE WANAWAKE wawili wanaodaiwa kumpumbaza mwanaume kisha kumwibia pesa baada ya kumtilia ‘mchele’ kwenye pombe yake,...

Washukiwa wawili Thika wanaswa na lita 4,000 za pombe haramu

Na LAWRENCE ONGARO WASHUKIWA wawili wamenaswa na maafisa wa upelezi wakitengeneza pombe katika jumba moja mjini Thika. Hii ni baada...

Wakazi wafurahia corona kupunguza ulevi vijijini

NA KALUME KAZUNGU WAKAZI wa mitaa ya Wiyoni na Mararani, kisiwani Lamu wamesifu kipindi cha janga la Covid-19 kwa kusaidia kupunguza...

Walevi wakesha waumini wakilala

Na WAANDISHI WETU WANANCHI wengi wanaopenda vileo walikiuka maagizo ya kukaa nyumbani usiku wa kuamkia jana Ijumaa, na badala yake...

Wamiliki wa baa wasema ‘wamesota’, hawana hela za kurejelea biashara

Na SAMMY WAWERU Matamshi ya Rais Uhuru Kenyatta “sasa mnaweza kunywa pombe” yakiashiria kuruhusu ufunguzi wa mabaa, vilabu na maeneo...

Hofu pombe ikizidi kuua wakazi Kisii

Na Wycliffe Nyaberi UTENGEZAJI pombe ya kienyeji umeongezeka katika maeneo kadhaa Kaunti ya Kisii, na kusababisha ongezeko la vifo na...

Ajitetea watoto wataumia asipouza pombe

Na Richard Munguti Mama mwenye umri wa miaka 35 alilia kortini akisema shida za watoto wake kukosa chakula zilimsukuma akaidi agizo la...