• Nairobi
  • Last Updated February 23rd, 2024 12:48 PM

BI TAIFA MACHI 3, 2021

Hilda Akumu mwenye umri wa miaka 28 ni mwanamitindo kutoka Uasin Gishu.Uraibu wake kusafiri na kushiriki kwenye majukwaa ya...

BI TAIFA MACHI 2, 2021

BI TAIFA MACHI 1, 2021

Beth Padao mwenye umri wa miaka 23, ni mwigizaji wa filamu na mfanyibiashara kutoka kaunti ya Nakuru.Uraibu wake ni kusafiri, kuogelea na...

BI TAIFA FEBRUARI 27, 2021

MGENI wetu ni Jaquiline Cheruiyot, 26. Ni mtaalam wa mapambo kutoka Nakuru.Uraibu wake ni kutazama filamu, kusoma na kucheza voliboli....

BI TAIFA FEBRUARI 24, 2021

MAUREEN Morena, 22, ni mwigizaji wa filamu kutoka Nakuru. Anapenda kupatana na marafiki wapya na kuogelea. Picha/ Richard Maosi

BI TAIFA FEBRUARI 23, 2021

MAURINE Nzalambi Linton, 21, ni mzaliwa wa Kaunti ya Mombasa. Uraibu wake ni kutazama mchezo wa kandanda, kusoma na kujumuika na marafiki...

BI TAIFA FEBRUARI 22, 2021

ALICE Wangare mwenye umri wa miaka 22 ni mfanyabiashara na mwanafasheni kutoka mjini Nakuru. Uraibu wake ni kuandaa keki, kuogelea na...

BI TAIFA FEBRUARI 13, 2021

ZELIHA Wamboi, 24, kutoka jijini Nairobi ndiye anatupambia ukurasa leo. Anapenda kutazama filamu na kusikiliza muziki. Picha/ Richard Maosi

BI TAIFA FEBRUARI 11, 2021

BRIDGIT Regina, 22, ni mwanafasheni kutoka jijini Nairobi. Anapenda kusafiri, kujumuika na marafiki na kuogelea. Picha/ Richard Maosi

BI TAIFA FEBRUARI 9, 2021

MGENI wetu leo ni Bi Luria Mercy ambaye ni mzaliwa na mfanyabiashara mjini Elburgon, Kaunti ya Nakuru. Uraibu wake ni kusafiri, kusoma na...

BI TAIFA FEBRUARI 8, 2021

CATHERINE Muthoni, 22, ndiye anayetupambia ukurasa huu leo. Bi Muthoni aliye mkazi wa Nyahururu anapenda kujumuika na marafiki, kusafiri...

BI TAIFA JANUARI 29, 2021

WEMA JEROP ndiye anayetupambia ukurasa wetu leo. Yeye ni mfanyabiashara kutoka Baringo. Uraibu wake ni kuogelea na kusafiri. Picha/...