• Nairobi
  • Last Updated May 22nd, 2024 4:47 PM

BI TAIFA OKTOBA 21, 2020

Bridgit Regina mwenye umri wa miaka 21 ni mzaliwa wa kaunti ya Nairobi, anapenda kufanya mazoezi na kuandika mashairi. Picha/Richard Maosi

BI TAIFA OKTOBA 20, 2020

Triza Mokeira 23 anafanya kazi katika kiwanda cha kutengeneza bidhaa zinazotokana na ndizi katika kaunti ya Kisii. Uraibu wake ni kupiga...

BI TAIFA OKTOBA 19, 2020

Wendy Barak 24, ni mkaazi wa eneo la Manyani kaunti ya Nakuru.Yeye ni mtaalam wa kurembesha akina dada.Anapenda kutazama soka na kutazama...

BI TAIFA OKTOBA 18, 2020

Sylvia Buluma 24,ni mzaliwa wa kaunti ya Kakamega, yeye ni mratibu wa mashindano ya wanamitindo kutoka Bonde la Ufa.Anapenda kulea talanta...

BI TAIFA OKTOBA 17, 2020

Margret Nyakiriko 27, ni mfanyibiashara kutoka Kaunti ya Nakuru. Uraibu wake ni kusikiliza muziki na kujumuika na marafiki....

BI TAIFA OKTOBA 16, 2020

Linda Jemutai ni mzaliwa wa Kaunti ya Uasin Gishu, amehitimu miaka 25. Yeye ni mfanyibiashara kutoka Nakuru. Uraibu wake ni kusakata densi...

BI TAIFA OKTOBA 15, 2020

Janet Jemutai ni mzaliwa wa kaunti ya Uasin-Gishu, yeye ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika Chuo Kukuu Cha Maasai Mara. Uraibu wake ni...

BI TAIFA OKTOBA 14, 2020

Winnie Soyo 25 ni mzaliwa wa eneo la Nyahururu kaunti ya Laikipia. Yeye ni mwanafasheni na mwanamitindo. Anapenda kupika, kusafiri na...

BI TAIFA OKTOBA 13, 2020

Janine Daki ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu Cha Egerton, amehitimu miaka 24, yeye ni mzaliwa wa kaunti  ya Nakuru na mshindi wa tuzo...

BI TAIFA OKTOBA 12, 2020

Mary Rewel mwenye umri wa miaka 24, ndiye anatupambia wavuti wetu , yeye ni mwalimu na mchekeshaji.Uraibu wake ni kusoma majarida na...

BI TAIFA OKTOBA 11, 2020

Janet Bonyo 24 ni mfanyibiashara kutoka kaunti ya Nakuru, yeye ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu Cha Egerton Njoro. Uraibu wake ni...

BI TAIFA OKTOBA 10, 2020

Jane Kharim amefikisha miaka 24, yeye ni mwanamitindo na mwanafasheni kutoka kaunti ya Nakuru. Uraibu wake ni kusakata densi na kujumuika...