• Nairobi
  • Last Updated May 3rd, 2024 12:11 PM

Dkt Monda apoteza kazi kama Naibu Gavana wa Kisii

NA COLLINS OMULO NAIBU Gavana wa Kisii Robert Monda amepoteza kazi yake baada ya maseneta kupiga kura ya kuunga mkono makosa manne...

Mfanyabiashara azimwa kuvamia shamba la bwanyenye marehemu

NA RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA Kuu imemzima mfanyabiashara Dorcus Joan Kiptoo kutwaa umiliki wa shamba la ekari 66 lenye thamani ya Sh4.6...

Mahangaiko hoteli zikifungwa kupisha mwezi wa Ramadhani

NA FATUMA BUGU WAKAZI wengi wa Mombasa wanaopenda mapochocho ya Pwani tayari wameanza kutafuta sehemu mbadala kukimu mahitaji yao ya...

Elachi afichua Kilimani imegeuzwa danguro la vibiritingoma, wahuni

NA FRIDAH OKACHI MBUNGE wa Dagoretti Kaskazini Beatrice Elachi amefedheheshwa na jinsi wasichana wadogo kutoka mitaa ya mabanda ya...

Polisi waamriwa kuvunja Mungiki katika steji ya Sagana

NA MWANGI MUIRURI KAMANDA wa polisi eneo la Kati, Lydia Ligami, ametoa amri kwa wadogo wake wanahudumu katika maeneo ya Kaunti ya...

Migodi ya dhahabu ilivyogeuka kuwa ngome ya mauti 

NA OSCAR KAKAI ENEO la Romus katika Lokesheni ya Lopet, wadi ya Kiwawa mpakani mwa Kaunti ya Pokot Magharibi na Turkana ni limesheheni...

Utata wa soko la Kombani wachacha

NA BRIAN OCHARO WAKAZI wa kaunti ya Kwale watasubiri kwa wiki mbili zaidi kufahamu iwapo soko la Kombani lililogarimu Sh120 milioni...

Seneta alalamikia unyakuzi wa ardhi Mombasa

NA WINNIE ATIENO SENETA wa Mombasa Bw Mohammed Faki amesihi viongozi wa kaunti hiyo kushirikiana ili kurejesha vipande vya ardhi...

Wakulima wa ndizi wanavyohangaika kupata soko mazao yakiozea shambani

NA KALUME KAZUNGU WAKULIMA wa ndizi katika kisiwa cha Pate, Lamu Mashariki wanaililia serikali ya Kaunti, ile ya kitaifa na wadau...

Mbinu za kina mama kukabiliana na wizi wa mifugo

NA OSCAR KAKAI HUKU serikali ikijikakamua kupambana na visa vya wizi wa mifugo na mashambulizi ya mara kwa mara Pokot Magharibi, baadhi ya...

Uzinduzi wa vitabu vya Kibajuni kudumisha tamaduni  

NA KALUME KAZUNGU HISTORIA imeandikishwa baada ya vitabu vilivyoandikwa na kuchapishwa kwa mara ya kwanza kwa lahaja au lugha ya Kibajuni...

Ujenzi wa bwawa na visima kupunguza mizozo

NA WINNIE ATIENO SERIKALI imetenga kima cha Sh48 milioni zinazolenga kutumika kujenga vyanzo vya maji (water pan) na visima katika...