• Nairobi
  • Last Updated June 12th, 2024 4:24 PM

Rais atangaza mikakati ya kuleta shibe kubwa Kenya

NA BENSON MATHEKA RAIS William Ruto amesema serikali yake ina mikakati ya kupunguza njaa na umasikini nchini kupitia kilimo na...

Wezi wa mananasi ya Del Monte waonywa watakipata cha mtema kuni

NA MWANGI MUIRURI KAMISHNA wa Murang'a Bw Joshua Nkanatha ametangaza rasmi katika Madaraka Dei kwamba wizi wa manasi Del Monte...

Rais asema hakuna cha Wakenya kuvalia viatu kutoka nje

NA CHARLES WASONGA RAIS William Ruto ametangaza serikali itawekeza Sh100 milioni katika kiwanda cha kutengeneza viatu na ifikapo mwaka...

Mswada wa Fedha 2024 waendelea kukosolewa vikali

NA SAMWEL OWINO WADAU mbalimbali wameibua masuala makuu tata katika Mswada wa Fedha wa 2024 ambayo huenda yakafanya maisha ya Wakenya...

Rais aonya Wakenya dhidi ya ukabila akihimza umoja wa nchi

NA CHARLES WASONGA RAIS William Ruto amewahimiza Wakenya kudumisha umoja na uzalendo na wajiepushe na siasa za kikabila. Akiongea katika...

Madaraka Dei: Wito wa kukabili muguka watolewa

JURGEN NAMBEKA Na MAUREEN ONGALA SHEREHE za 61 za Madaraka Dei katika Kaunti ya Mombasa zilizofanyika bustani ya Mama Ngina zilisheheni...

Masaibu ya Joho yaandama Nassir

NA ANTHONY KITIMO MIAKA miwili baada ya Gavana wa Kaunti ya Mombasa Abdulswamad Nassir kuchukua hatamu za uongozi, masaibu karibu sawa...

Matulo kugeuzwa uwanja wa ndege wa kimataifa

NA SHABAN MAKOKHA UWANJA mdogo wa ndege wa Matulo katika Kaunti ya Bungoma utafanyiwa maboresho kuwa uwanja wa kimataifa wa ndege,...

Walimu wa JSS wasitisha mgomo

NA MWANDISHI WETU WALIMU wa Sekondari Msingi (JSS) wamesitisha mgomo wa wiki mbili baada ya kutia saini makubaliano ya kurejea...

Madaraka Dei: Wafanyabiashara, wakulima wa miwa wavuna

NA JESSE CHENGE WAKENYA kwa maelfu kutoka kote nchini wametenga muda kuhudhuria sherehe za kitaifa za Madaraka Dei katika uwanja wa...

Rais Ruto aongoza Wakenya kwa makala ya 61 ya Madaraka Dei

NA SHABAN MAKOKHA RAIS William Ruto anaongoza makala ya 61 ya sherehe za kitaifa za Madaraka Dei katika uwanja wa Masinde Muliro-Kanduyi...

Achani ahimiza wabunge kuunda sheria ya kupiga marufuku muguka

NA WINNIE ATIENO GAVANA wa Kwale Fatuma Achani amewataka wabunge kutoka Kwale kwenda katika Bunge la Kitaifa na kubuni sheria ya kupiga...