• Nairobi
  • Last Updated April 27th, 2024 6:55 AM

Utafiti wafichua nusu ya Wakenya waamini nchi inaelekea pabaya

Na NDUBI MOTURI ZAIDI ya nusu ya Wakenya wanaamini kuwa nchi inaelekea vibaya, utafiti wa kampuni ya Infotrak umeonyesha. Ni asilimia...

Kampuni zaacha mashine za kuchuma majanichai na kurejea kwa vibarua wa mikono

Na BARNABAS BII BAADHI ya kampuni za kuendesha kilimo cha majani-chai katika eneo la Kaskazini mwa Bonde la Ufa zimerejelea uchumaji kwa...

Shule sasa zalazimika kutumia ada za chakula kulipa walimu mishahara

NA MAUREEN ONGALA WAKUU wa shule za Kilifi wamefichua kuwa uhaba wa walimu na kucheleweshwa kwa pesa zinazotolewa na serikali ya kitaifa...

Tafuteni barakoa mvalie sababu kuna wimbi la mafua, Wakenya waambiwa

ELIZABETH OJINA NA LABAAN SHABAAN WATAALAMU wa afya eneo la ziwa - Lake Basin - wameonya kuna uwezekano wa kuongezeka kwa homa ya...

Serikali yapiga marufuku dawa ya kikohozi Benylin kufuatia madai ya maafa Afrika Magharibi

NA MWANDISHI WETU BODI ya Dawa na Sumu nchini imesimamisha mara moja uuzaji na utumiaji wa dawa ya kikohozi ya watoto, kwa jina Benyline...

Raila akatiza kampeni za kiti cha AUC ili kutetea madaktari walipwe

Na CHARLES WASONGA HATIMAYE kiongozi wa upinzani Raila Odinga amevunja kimya chake kuhusu mgomo wa madaktari kwa kuitaka serikali...

EACC yaondolea Chiloba kesi ya ufisadi iliyopelekea kutimuliwa Tume ya Mawasiliano

EDNA MWENDA NA FATUMA BARIKI TUME ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) imetamatisha upelelezi dhidi ya aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa...

Bintiye Rais Moi, June Chebet aaga dunia

NA FRANCIS MUREITHI BINTIYE rais mstaafu hayati Daniel Moi, Bi June Chebet aliaga dunia Alhamisi akiwa na umri wa miaka 60. Bi Chebet...

Uvamizi mpya wa Al-Shabaab Milihoi wafufua kumbukumbu ya Katibu wa Wizara aliyetekwa

NA KALUME KAZUNGU MILIHOI ni miongoni mwa maeneo ambayo yalikuwa yameanza kujenga sifa nzuri siku za hivi karibuni baada ya miaka mingi ya...

Je, unajua kwa nini bei ya kitunguu haikamatiki saa hii?

SOPHIA WANJIRU NA WANDERI KAMAU BEI ya vitunguu imepanda mjini Nyeri kutokana na kupungua kwa mavuno ya zao hilo. Hali hiyo imetajwa...

Viongozi wa Kiislamu wahimiza serikali kutendea haki madaktari

NA TITUS OMINDE VIONGOZI wa Kiislamu kutoka eneo la North Rift wameihimiza serikali ya kitaifa kuangazia matakwa ya madaktari ili...

Mwindaji ageuka mwindwa: Afisa wa DCI akamatwa akiitisha hongo

NA CHARLES WASONGA AFISA wa Upelelezi wa Jinai na Uhalifu (DCI) Jumatano, Aprili 10, 2024, alikamatwa na maafisa wa Tume ya Maadili na...