• Nairobi
  • Last Updated September 26th, 2023 10:25 PM

Kukosa usingizi wa kutosha kunaleta madhara haya

NA MARGARET MAINA [email protected] KUTOPATA usingizi wa kutosha kunadhoofisha uwezo wako wa kiakili na kuhatarisha afya yako ya...

AFYA NI MTAJI: Dalili hizi huenda zikaashiria una kansa ya matiti

NA WANGU KANURI KANSA ya matiti hutokea baada ya kuota kwa uvimbe unaosababisha kuchipuka kwa seli katika sehemu ya ndani ya...

Tabia na mambo ya kuepuka asubuhi

NA MARGARET MAINA [email protected] JE, unajua kwamba jambo la kwanza unalofanya asubuhi linaweza likakuamlia jinsi siku yako...

SHINA LA UHAI: Ugonjwa wa selimundu wasababishia familia dhiki

NA PAULINE ONGAJI KWA miaka 16 sasa, maisha yake Derrick Otieno, mwanafunzi wa kidato cha nne hapa jijini Nairobi, yamejawa na...

Jennifer Kananu Mbogori ni mwasisi wa kampuni ya kutengeneza sodo za ubora wa hali ya juu

NA MAGDALENE WANJA USAFI wakati wa hedhi ni muhimu sana kwa mwanadada au mwanamke yeyote awaye yule.  Bila shaka ni suala muhimu...

Dkt Neema Lema atumia teknolojia kutibu watoto kwa kuwapa wazazi wao maelezo muhimu

NA MAGDALENE WANJA WAKATI mwingine, kutibu mtoto mgonjwa huhitaji tu ushauri wa daktari. Baadhi ya wagonjwa pia hawana uwezo wa...

AFYA: Vidokezo vya jinsi ya kupunguza ‘uzito wa maji’

NA MARGARET MAINA [email protected] UZITO wa maji ni neno linalotumiwa kuelezea maji ya ziada ambayo hujilimbikiza kwenye tishu...

SHINA LA UHAI: Changamoto za wanaosikia kupitia kwa sikio moja

NA WANGU KANURI MWENDWA Mbaabu,41, alipozaliwa sikio lake la kushoto halikuwa linasikia. Hata hivyo, wazazi wake waligundua kuwa...

SHINA LA UHAI: Matibabu ya kansa nchini yamletea afueni afya ikiimarika

NA PAULINE ONGAJI KATIKA kitengo kipya maalum cha matibabu ya kuhamisha uboho (bone marrow transplant) BMT kwenye orofa ya sita ya...

TIBA NA TABIBU: Wakenya wapokea chanjo kudhibiti kipindupindu

NA WANGU KANURI WAKENYA zaidi ya milioni mbili wamepokea chanjo dhidi ya ugonjwa wa kipindupindu. Chanjo hii itapewa watu wote walio na...

SHINA LA UHAI: Abainisha mchango wa wanaume katika upangaji uzazi

NA WANGU KANURI BAADA ya kumpata kitinda mimba wake, mnamo 2014, Tony Hutia aliamua kukatwa mrija wa uzazi (vasectomy). Baba huyo wa...

SHINA LA UHAI: Mradi walenga kuokoa wanawake ukiangazia HIV, kansa

NA PAULINE ONGAJI MIAKA miwili iliyopita Bi Caroline Adhiambo Dede, mkazi wa kijiji cha Mariwa, Kaunti ya Homa Bay, kama kawaida alizuru...