• Nairobi
  • Last Updated April 19th, 2024 1:14 PM

Boresha afya: Haya ni baadhi ya matumizi mengi ya ndizi

NA PAULINE ONGAJI KWA watu wengi picha ya ndizi iliyoiva kupindukia haipendezi, na tunda hili linapoonekana hivi kwa wengi suluhisho huwa...

‘Mume wangu analea watoto wetu watatu, lakini hajui wawili si wake’

NA FRIDAH OKACHI ULIPIZAJI kisasi umechangia baadhi ya wanaume kulea watoto ambao si wao. Mume wa Kate anawalea watoto wawili bila kujua...

Kansa: Mwanamke asimulia jinsi mume alivyomuacha kwa kukatwa titi

NA KALUME KAZUNGU BI Shumi Abdallah Bakari ni miongoni mwa manusura wa maradhi ya saratani ya matiti kisiwani Lamu. Mama huyo wa miaka 63...

SHINA LA UHAI: Teknolojia mpya ya CyberKnife tumaini la wanaougua kansa

NA PAULINE ONGAJI MNAMO Septemba 27, 2023, Bw Benjamin Muthama,28, alianza matibabu yake ya mnururisho kuondoa uvimbe uliokuwa kati ya...

Disko Matanga sasa marufuku Kilifi kuzima kuchafuliwa kwa vigoli

KNA na LABAAN SHABAAN KAMATI ya Usalama wa Kaunti ya Kilifi imezima maombolezi ya Disko Matanga kwa kuhusishwa na unajisi wa wasichana...

Utafiti wakanusha; ‘stress’ haisababishi ‘mtambo’ kushindwa kunguruma

NA CECIL ODONGO WATAFITI wamebaini kuwa msongo wa mawazo na shauku (anxiety) haina uhusiano wowote na ukosefu wa nguvu za kiume kinyume na...

Wanandoa wanaotaka kupata watoto wakatazwa kula samaki wakubwa

NA ANGELINE OCHIENG ULAJI wa samaki wakubwa unaweza ukapunguza uwezo wa kupata watoto miongoni mwa wanaume na wanawake, wataalamu...

Shule yatoa ilani kuhusu apu ya Roblox inayoweka watoto kwenye hatari ya ngono

NA LABAAN SHABAAN MZAZI mmoja ametahadharisha wazazi wengine kuhusu tovuti maarufu ya kutoa mafunzo na michezo ya watoto kwa jina...

Ugonjwa unaomfanya mtu kujikuna anapogusa maji

Na WANGU KANURI MNAMO mwaka wa 2016, Walter Simiyu, 30, alianza kuhisi mwasho kila wakati alipogusa maji na haswa akioga. Bw Simiyu...

Hofu huku idadi ya wanaume wanaokosa nguvu za kiume ikiongezeka

Na CECIL ODONGO WATAALAMU wa afya wamezua hofu kutokana na kuendelea kupanda kwa idadi ya wanaume tasa au wale ambao hawana nguvu za...

Mwanamume aliyepooza kwa sababu ya Polio asimulia jinsi alivyoacha shule kwa kuchekwa na wenzake

NA KALUME KAZUNGU KILA anaposimama kuzungumza, iwe ni kwenye makongamano, mikutano au hata  kampeni zinazofungamana na afya, hasa suala...

Wito kwa walioambukizwa HIV wajitokeze waziwazi kuepusha maambukizi ya mama hadi kwa mtoto

NA ALEX KALAMA WADAU wa afya katika Kaunti ya Kilifi wameelezea hofu yao, baada ya maambukizi ya virusi vya ukimwi kutoka kwa mama hadi...