• Nairobi
  • Last Updated May 22nd, 2024 5:30 PM

Kansa: Mwanamke asimulia jinsi mume alivyomuacha kwa kukatwa titi

NA KALUME KAZUNGU BI Shumi Abdallah Bakari ni miongoni mwa manusura wa maradhi ya saratani ya matiti kisiwani Lamu. Mama huyo wa miaka 63...

SHINA LA UHAI: Teknolojia mpya ya CyberKnife tumaini la wanaougua kansa

NA PAULINE ONGAJI MNAMO Septemba 27, 2023, Bw Benjamin Muthama,28, alianza matibabu yake ya mnururisho kuondoa uvimbe uliokuwa kati ya...

Disko Matanga sasa marufuku Kilifi kuzima kuchafuliwa kwa vigoli

KNA na LABAAN SHABAAN KAMATI ya Usalama wa Kaunti ya Kilifi imezima maombolezi ya Disko Matanga kwa kuhusishwa na unajisi wa wasichana...

Utafiti wakanusha; ‘stress’ haisababishi ‘mtambo’ kushindwa kunguruma

NA CECIL ODONGO WATAFITI wamebaini kuwa msongo wa mawazo na shauku (anxiety) haina uhusiano wowote na ukosefu wa nguvu za kiume kinyume na...

Wanandoa wanaotaka kupata watoto wakatazwa kula samaki wakubwa

NA ANGELINE OCHIENG ULAJI wa samaki wakubwa unaweza ukapunguza uwezo wa kupata watoto miongoni mwa wanaume na wanawake, wataalamu...

Shule yatoa ilani kuhusu apu ya Roblox inayoweka watoto kwenye hatari ya ngono

NA LABAAN SHABAAN MZAZI mmoja ametahadharisha wazazi wengine kuhusu tovuti maarufu ya kutoa mafunzo na michezo ya watoto kwa jina...

Ugonjwa unaomfanya mtu kujikuna anapogusa maji

Na WANGU KANURI MNAMO mwaka wa 2016, Walter Simiyu, 30, alianza kuhisi mwasho kila wakati alipogusa maji na haswa akioga. Bw Simiyu...

Hofu huku idadi ya wanaume wanaokosa nguvu za kiume ikiongezeka

Na CECIL ODONGO WATAALAMU wa afya wamezua hofu kutokana na kuendelea kupanda kwa idadi ya wanaume tasa au wale ambao hawana nguvu za...

Mwanamume aliyepooza kwa sababu ya Polio asimulia jinsi alivyoacha shule kwa kuchekwa na wenzake

NA KALUME KAZUNGU KILA anaposimama kuzungumza, iwe ni kwenye makongamano, mikutano au hata  kampeni zinazofungamana na afya, hasa suala...

Wito kwa walioambukizwa HIV wajitokeze waziwazi kuepusha maambukizi ya mama hadi kwa mtoto

NA ALEX KALAMA WADAU wa afya katika Kaunti ya Kilifi wameelezea hofu yao, baada ya maambukizi ya virusi vya ukimwi kutoka kwa mama hadi...

SHINA LA UHAI: Uhaba wa dawa za TB wahatarisha afya ya Wakenya

NA PAULINE ONGAJI AGOSTI 2023, Bw Emanuel Parsare, mkazi wa kijiji cha Kiserian, eneo la Marigat, Kaunti ya Baringo, alizuru hospitali...

SHINA LA UHAI: Ongezeko la taka za kielektroniki tishio kwa afya na mazingira

NA PAULINE ONGAJI HUKU ulimwengu ukiendelea kushuhudia ustawi mkuu wa teknolojia, kwa upande mwingine, maendeleo haya yamesababisha...