• Nairobi
  • Last Updated April 26th, 2024 10:50 AM

Vyakula vinavyoweza kuwasaidia walio na ugonjwa wa jongo (Gout)

NA MARGARET MAINA [email protected] JONGO ni ugonjwa wa yabisi unaotokea wakati asidi ya uric inapojikusanya na kutengeneza...

BORESHA AFYA: Vitamini, madini na virutubisho bora vya kuimarisha mfumo wa kinga

NA MARGARET MAINA [email protected] MFUMO wa kinga ni safu moja ngumu, yenye nguvu ya ulinzi inayolinda mwili dhidi ya vitu vya...

BORESHA AFYA: Vitamu visivyoleta madhara mwilini

NA MARGARET MAINA [email protected] KWA upande mmoja, pipi na kitindamlo kitamu lakini kwa upande mwingine, huwa na sukari...

Mwanasaikolojia Faith Gichanga ataka kampuni, watu binafsi kuchukulia kwa uzito huduma za ushauri nasaha

NA MAGDALENE WANJA MARUFUKU ya usafiri na kwenda kazini yaliadhiri watu wengi kisaikolojia wakati wa kanga la Covid-19. Baadhi ya...

Mtaalam anayewashauri wagonjwa jinsi ya kutumia vifaa vya sauti masikioni

NA MAGDALENE WANJA BI Wairimu Mwangi ni mtaalam wa maswala ya masikio na sauti (clinical audiologist), kazi ambayo amaifanya kwa muda wa...

Mtindo bora wa maisha yasiyo na shinikizo hatari

NA MARGARET MAINA [email protected] DUNIANI leo hii mwanadamu ana shughuli nyingi zaidi pengine kuliko nyuki. Hata hivyo,...

Kukosa usingizi wa kutosha kunaleta madhara haya

NA MARGARET MAINA [email protected] KUTOPATA usingizi wa kutosha kunadhoofisha uwezo wako wa kiakili na kuhatarisha afya yako ya...

AFYA NI MTAJI: Dalili hizi huenda zikaashiria una kansa ya matiti

NA WANGU KANURI KANSA ya matiti hutokea baada ya kuota kwa uvimbe unaosababisha kuchipuka kwa seli katika sehemu ya ndani ya...

Tabia na mambo ya kuepuka asubuhi

NA MARGARET MAINA [email protected] JE, unajua kwamba jambo la kwanza unalofanya asubuhi linaweza likakuamlia jinsi siku yako...

SHINA LA UHAI: Ugonjwa wa selimundu wasababishia familia dhiki

NA PAULINE ONGAJI KWA miaka 16 sasa, maisha yake Derrick Otieno, mwanafunzi wa kidato cha nne hapa jijini Nairobi, yamejawa na...

Jennifer Kananu Mbogori ni mwasisi wa kampuni ya kutengeneza sodo za ubora wa hali ya juu

NA MAGDALENE WANJA USAFI wakati wa hedhi ni muhimu sana kwa mwanadada au mwanamke yeyote awaye yule.  Bila shaka ni suala muhimu...

Dkt Neema Lema atumia teknolojia kutibu watoto kwa kuwapa wazazi wao maelezo muhimu

NA MAGDALENE WANJA WAKATI mwingine, kutibu mtoto mgonjwa huhitaji tu ushauri wa daktari. Baadhi ya wagonjwa pia hawana uwezo wa...