• Nairobi
  • Last Updated May 29th, 2023 9:37 PM

Akothee: Sijashika mimba ya ‘Omosh’ kwa sababu ya msongo wa mawazo

Na MWANDISHI WETU MWANAMUZIKI Esther Akoth maarufu kama Akothee amefunguka kwa nini bado hajashika mimba ya bwanake Dennis Schweizer...

BORESHA AFYA: Viungo vizuri kwa afya yako

NA MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com Mdalasini MDALASINI ni kiungo kinachoweza kusaidia mtu kupoteza uzito, kudhibiti sukari...

Si uamuzi wa busara kuzoea ‘snacks na fastfood’

NA MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com INGAWA vitafunio hutoa shibe kati ya milo, kula mara kwa mara kwenye vyakula vya kalori...

Dj Fatxo ‘awasamehe’ waliomhusisha na mauaji ya Jeff Mwathi baada ya kuondolewa mashtaka

NA SAMMY WAWERU MCHEZA santuri Lawrence Wagura Njuguna maarufu kama Dj Fatxo ametangaza kusamehe waliomhusisha na mauaji ya...

BORESHA AFYA: Faida na madhara ya ulaji wa nyama

NA MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com KUNA nyama nyeupe na nyekundu. Nyama nyekundu, hata hivyo, hunyanyapaliwa kuhusiana na...

Athari za ukosefu wa maji mwilini

NA MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com UNYWAJI na upatikanaji wa maji ni muhimu kwa afya ya binadamu. Bila maji, mwili unaweza...

Namna ya kulikabili tatizo la kutokwa na damu puani

NA MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com KUTOKWA na damu puani ni jambo la kawaida. Pua ina mishipa mingi ya damu, ambayo iko karibu...

Mianya tele iliyoko katika soko la nyama na ufugaji

NA SAMMY WAWERU KAMPUNI ya Nema iliyoko kwenye mtandao wa uuzaji nyama, inataja sekta ya ufugaji kama yenye manufaa chungu nzima...

Ukizoea kufakamia mapochopocho utasumbuliwa na protini nyingi mwilini!

NA MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com INGAWA ulaji wa protini ni muhimu kwa afya, lishe yenye afya, ni muhimu kujua dalili za...

Ezekiel Odero atua jijini Nairobi kuhubiri injili

NA SAMMY WAWERU SIKU chache baada ya kuachiliwa na mahakama, Mhubiri Ezekiel Odero amesafiri jijini Nairobi ‘kuhubiri injili’....

Ishara na dalili za upungufu wa vitamini C mwilini

NA MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com VIASHIRIA vya upungufu wa vitamini C vinaweza kujumuisha uchovu, michubuko rahisi, na...

SIHA NA LISHE: Fahamu mlo sahihi ikiwa wewe ni ‘vegan’

NA MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com MLO wa mboga unaendelea kupata umaarufu.  Lishe ya mboga inaweza kupunguzia mlaji hatari...