NA WANDERI KAMAU DUNIA inakumbwa na mustakabali finyu sana kuhusu hali yake kimazingira. Mabadiliko ya ghafla ya hali ya hewa ambayo...
NA DOUGLAS MUTUA WAGOMBANAO ndio wapatanao, wahenga walinena. Hata wanasiasa wa Kenya hawataishi kukabana koo milele. Kauli hiyo ya...
NA KINYUA KING'ORI HATUA ya Rais William Ruto kukubali baadhi ya hoja zilizochochea maandamano ya muungano wa upinzani Azimio, ni nzuri....
NA MHARIRI KAMATI ya Bunge inayohusika na masuala ya Haki na Katiba (JLAC) hatimaye imempiga msasa Askofu Dkt David Oginde. Askofu...
NA JURGEN NAMBEKA TAARIFA za hivi punde za watu kadha kupoteza maisha pamoja na mali ya mamilioni kuharibiwa na mafuriko katika Kaunti ya...
NA CECIL ODONGO KINARA wa Azimio la Umoja Raila Odinga anapasa kukoma kuwachezea shere wafuasi wake kila mara kwa kuchukua mkondo wa...
NA MHARIRI INASIKITISHA kuwa tangu Desemba 2022, serikali ya Kenya Kwanza haijatuma mgao wa kaunti kwa magatuzi hayo. Hali hiyo...
NA MHARIRI HATUA ya Rais William Ruto na kinara wa Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya, Bw Raila Odinga, kulegeza misimamo yao ilikuja...
NA MHARIRI HATUA ya vigogo serikalini kuelekezea ghadhabu zao wanahabari na vyombo vya habari katika juhudi za kuzima maandamano...
NA MHARIRI TUKIO la mnamo Jumatatu ambapo wahuni, walioonekana kufadhiliwa na mahasimu wa kisiasa wa Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta na...
NA MHARIRI VITA dhidi ya uhuru wa vyombo vya habari Kenya sasa vinaonekana kuanza kuchukua mkondo hatari zaidi. Tangu serikali ya Kenya...
NA MHARIRI HATUA ya serikali kupokonya leseni mashirika 26 ambayo yamekuwa yakisafirisha Wakenya ughaibuni kwenda kusaka ajira, ni habari...