• Nairobi
  • Last Updated April 19th, 2024 8:55 PM

TAHARIRI: Wanasiasa wasichochee umma dhidi ya wanahabari

NA MHARIRI VITA dhidi ya uhuru wa vyombo vya habari Kenya sasa vinaonekana kuanza kuchukua mkondo hatari zaidi. Tangu serikali ya Kenya...

TAHARIRI: Serikali ifichue mashirika yaliyopigwa marufuku kupeleka Wakenya ughaibuni kusaka ajira

NA MHARIRI HATUA ya serikali kupokonya leseni mashirika 26 ambayo yamekuwa yakisafirisha Wakenya ughaibuni kwenda kusaka ajira, ni habari...

WANDERI KAMAU: Rais amjaribu Nelson Marwa kukabili majangili Bondeni

NA WANDERI KAMAU WAKATI matatizo yanapomzidia mwanadamu, ni bora kumtafuta mtu, watu ama taasisi yenye uwezo wa kutatua changamoto...

DOUGLAS MUTUA: Putin ni papa nayo ICC dagaa?

NA DOUGLAS MUTUA KUNA msemo wa Kiingereza usemao kwamba hata saa iliyoharibika huwa sahihi angaa mara mbili kwa siku. Imedhihirika kwamba...

TAHARIRI: Viongozi wa siasa waache misimamo yao mikali

NA MHARIRI MUUNGANO wa Azimio la Umoja One Kenya, jana Jumatatu ulitimiza mpango wake wa maandamano katika miji mbalimbali...

TAHARIRI: Maandamano: Sheria ifuatwe

NA MHARIRI MAANDAMANO ya Upinzani yanayotarajiwa kufanyika leo katika baadhi ya maeneo nchini, yameibua hisia mseto – yameungwa mkono na...

WANDERI KAMAU: Kwa kuwatoza ‘mama-mboga na boda’ ada mpya, Ruto amewasaliti mahasla

NA WANDERI KAMAU RAIS William Ruto alichaguliwa na Wakenya wengi kwa ahadi ya kuwatetea watu wa kiwango cha chini, yaani mahasla. Ahadi...

DOUGLAS MUTUA: Jumatatu si sikukuu rasmi

NA DOUGLAS MUTUA IKIWA una akili timamu, unajua Jumatatu hii si sikukuu. Vilevile, ikiwa una akili timamu, unajua maandamano yanayopangwa...

CHARLES WASONGA: Wanawake waige ujasiri wa Mama Grace Onyango

NA CHARLES WASONGA MAISHA ya mwanamke wa kwanza nchini kuwahi kuchaguliwa mbunge, marehemu Grace Akech Onyango, ni funzo kwa wanawake...

TAHARIRI: Serikali idhibiti mashirika yanayopeleka Wakenya ng’ambo kusaka ajira

NA MHARIRI UKIMYA wa serikali ya kitaifa kuhusu malalamishi ya wakazi wa Uasin Gishu dhidi ya shirika moja la kusaidia Wakenya kupata...

Serikali ichunguze ‘shule bandia’ zinazodaiwa kuwafundisha wageni lugha

KATIKA kipindi cha miezi kadhaa sasa, kumezuka madai kuwa kuna shule ambazo hazijasajiliwa katika kaunti ya Nairobi zinazowafunza wageni...

WANDERI KAMAU: Kenya itangaze msimamo thabiti kuhusu mashoga

NA WANDERI KAMAU DUNIA inapoendelea kushuhudia mabadiliko mengi, hasa katika masuala ya kitamaduni, baadhi ya mabadiliko hayo ibuka...