• Nairobi
  • Last Updated September 26th, 2023 10:25 PM

St Anthony’s, Butere waibuka mabingwa wa soka

Na CECIL ODONGO TIMU ya St Anthony Boys’ High School Kitale imetwaa taji la soka kwa kutandika Dagoretti High School 2-0 katika...

Gor Mahia ndio mabingwa wa FKF Charity Shield

NA JOHN ASHIHUNDU GOR Mahia wametwaa ubingwa wa FKF Charity Shield baada kuilaza Kakamega Homeboyz 4-2 kupitia kwa mikwaju ya peanlti...

Harry Kane sasa ni mali rasmi ya Bayern Munich

Na MASHIRIKA NAHODHA wa timu ya taifa ya Uingereza, Harry Kane, amejiunga Bayern Munich kwa mkataba wa miaka minne. Nyota huyo ambaye...

EPL: Saka na Nketiah wabeba Arsenal dhidi ya Nottingham Forest

Na MASHIRIKA MABAO ya Eddie Nketiah na Bukayo Saka katika kipindi cha kwanza yamesaidia Arsenal kuanza vyema kampeni zao za EPL msimu huu...

AFC Leopards yakubaliwa kusajili wachezaji baada ya makubalianao na Aussems

NA JOHN ASHIHUNDU KLABU ya AFC Leopards sasa imekubaliwa kusajili wachezaji wapya baada ya timu hiyo kufikia makubaliano na aliyekuwa...

EPL: Karen Nyamu aitakia Manchester United msimu mbaya

NA MWANGI MUIRURI SENETA maalum Karen Nyamu ameweka kando mada ya mapenzi na sasa anaangazia gozi la Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) akisema...

NYOTA WA WIKI: David Raya

NA GEOFFREY ANENE DAVID Raya Martin ni mmoja wa makipa wanaofanya vyema kwenye Ligi Kuu ya Uingereza. Mhispania huyo anayeaminika kuwa...

Shabana yasajili sita, wengine wakitarajiwa kuwasili

NA JOHN ASHIHUNDU SHABANA FC imesajili wachezaji watano huku ikitarajia kuvutia wengine sita kujaza nafasi za walioondoka kujiunga na...

AFC Leopards kupiga kambi Kakamega kujinoa kwa msimu mpya

NA JOHN ASHIHUNDU AFC Leopards wanatarajiwa kuondoka Nairobi mnamo Jumapili kuelekea mjimi Mumias, Kaunti ya Kakamega kwa kambi ya...

Mashabiki wa kandanda Lamu waipa Manchester City kichwa

NA KALUME KAZUNGU MASHABIKI wa soka kisiwani Lamu wamesema wanatarajia mchuano wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) kati ya Manchester City na...

Limbukeni Shanderema walipuliwa na St Anthony’s

NA CECIL ODONGO LIMBUKENI Shanderema waliokuwa wanawaka moto wamepigwa 1-0 na St Anthony's Boys High School Kitale, ambao ni mabingwa...

Katambe! Ngoma ya EPL yaanza rasmi leo Ijumaa

NA MASHIRIKA MANCHESTER, UINGEREZA MABINGWA watetezi Manchester City watazamiwa kuendeleza ukatili wao dhidi ya Burnley...