Pasta Ng’ang’a aonya serikali dhidi ya kumpokonya ardhi ya kanisa

Na ELVIS ONDIEKI PASTA James Ng'ang'a wa Kanisa la Neno Evangelism Centre, ametangaza kuwa yuko tayari kupambana na Shirika la Kenya...

Pasta Ng’ang’a ajitetea kuanika ziwa la mama kwenye runinga

Na BENSON MATHEKA MHUBIRI mbishi James Maina Ng’ang’a wa kanisa la Neno jijini Nairobi, amejijitetea baada ya kuadhibiwa kwa kuanika...

Askofu Ng’ang’a motoni tena

Na WAIKWA MAINA WAUMINI wanaohusishwa na kanisa la Neno Evangelism la Askofu James Nga’ang’a anayezingirwa na utata, walivamia...

WANDERI: Kisa cha Ng’ang’a ishara ya uasi wetu kwa Mungu

Na WANDERI KAMAU ALIPOANDIKA kitabu The Origin of Species (Asili ya Viumbe) mnamo 1869, lengo kuu la msomi Charles Darwin lilikuwa...

Matusi ya pasta Ng’ang’a yashtua Wakenya

Na BENSON MATHEKA na WANDERI KAMAU MHUBIRI mbishi James Ng’ang’a wa Kanisa la Neno Evangelism Centre jijini Nairobi, amekasirisha...

Pasta Ng’ang’a ajuta kutisha kumuua mwanahabari

Na ERIC WAINAINA MHUBIRI James Maina Ng’ang’a wa kanisa la Neno Evangelism, Jumanne alishtakiwa kwa kutisha kumuua mwanahabari wa...

Wahubiri wanavyokoroga dini nchini

VALENTINE OBARA na AGEWA MAGUT SIFA ya kanisa iliendelea kuharibika Jumatatu, baada ya wahubiri wawili maarufu kuendelea kuanikwa kwa...

Baba mkwe wa mwanamke aliyegongwa na Pasta Ng’anga asema anahofia maisha yake

Na ERIC WAINAINA BABA MKWEWE Bi Mercy Njeri, ambaye alifariki baada ya kugongwa na gari la mhubiri James Ng’ang’a amedai kwamba...

Serikali kukata rufaa ya uamuzi kuhusu Pasta Ng’ang’a

Na AGEWA MAGUT KUTOKANA na kuachiliwa huru kwa Mchungaji James Maina Ng’ang’a aliyeshtakiwa kwa ya mauaji barabarani, Waziri wa...