Polisi waliofutwa waamriwa warejeshe sare

Na KNA POLISI wa akiba nchini (NPR) waliopokonywa silaha na serikali, sasa wameamrishwa kusalimisha sare zote walizo nazo. Kamishna...

Bale aisaidia Madrid sare dhidi ya Villarreal

Na MASHIRIKA NYOTA Gareth Bale aliwafungia Real Madrid mabao mawili kabla ya kuonyeshwa kadi nyekundu mwishoni mwa kipindi cha pili...

Kitui yafaulu kushona sare za machifu wote nchini

Na KITAVI MUTUA KAUNTI ya Kitui Jumatano iliwasilisha kifurushi cha kwanza cha sare za machifu na manaibu wao kwa Afisi ya Rais huku...

Sare mpya za polisi zitashonwa na NYS – Matiang’i

Na PETER MBURU SERIKALI imeshikilia kuwa haitanunua tena sare za polisi kutoka nje ya nchi, ikisema kuwa kuna baadhi ya wakora ambao...

ONYANGO: Visa vya polisi kujiua vichunguzwe kwa kina

Na LEONARD ONYANGO TUNAPOFUNGA mwaka, maafisa wa polisi ni miongoni mwa watumishi wa serikali ambao watakumbuka 2018 kwani...

#PoliceReforms: Kero mitandoani kuhusu sare za buluu

Na CECIL ODONGO BAADA ya Rais Uhuru Kenyatta kuzindua mabadiliko kadhaa katika Idara ya Polisi Alhamisi, Wakenya mitandaoni wametoa hisia...

Shule zote za umma kuvalia sare za rangi moja

WYCLIFF KIPSANG na CHARLES WASONGA SERIKALI imetangaza nia ya kubadilishwa kwa sera ili kuhakikisha kuwa wanafunzi wa shule zote za umma...

Sare ya 2-2 dhidi ya Nakumatt yatamausha mashabiki wa Ingwe

Na GEOFFREY ANENE MASHABIKI wa AFC Leopards hawana raha kabisa baada ya timu yao kukabwa 2-2 na Nakumatt na kumaliza mechi ya nane bila...

Kenya yalazimishwa sare tasa na Ethiopia U-17

Na GEOFFREY ANENE KENYA imeambulia sare tasa dhidi ya Ethiopia katika mechi yake ya pili kwenye mashindano ya soka ya wachezaji wasiozidi...

Sony yaramba Ulinzi kwenye ligi kuu ingawa kwa jasho kuu

Na GEOFFREY ANENE Kwa Muhtasari: Kevin Omondi alisukuma wavuni bao la pekee dakika ya 16 Kariobangi Sharks ilikabwa 2-2 na...