• Nairobi
  • Last Updated June 1st, 2023 12:23 AM

KENYA IMESOTA!

LEONARD ONYANGO Na BENSON MATHEKA SERIKALI sasa inategemea mikopo kuendesha shughuli zake baada ya kuishiwa na fedha kabla ya kukamilika...

Spika ataka Yatani akamatwe kwa kukaidi seneti

Na IBRAHIM ORUKO SPIKA wa Seneti, Kenneth Lusaka sasa anataka Waziri wa Fedha Ukur Yatani akamatwe kwa kukaidi mialiko kadhaa ya kumtaka...

Bajeti yanyonga wanyonge

Na CHARLES WASONGA BAADA ya virusi vya corona kuvuruga maisha ya mamilioni ya wanyonge nchini, Serikali imezima matumaini yao kupumua...

Yatani akiri alikabiliwa na kibarua kigumu kusawazisha bajeti

Na CHARLES WASONGA WAZIRI wa Fedha Ukur Yatani ameungama kuwa bajeti aliyowasilisha kwa Wakenya bungeni Alhamisi jioni ilitokana na...

Machungu ambayo Wakenya watapitia kufadhili bajeti ya mwaka wa kifedha wa 2020/21

Na CHARLES WASONGA HUKU Wakenya wengi wakiendelea kukabiliwa na hali mgumu kwa kupoteza ajira kutokana na janga la Covid-19, huenda...

Matarajio ya wafanyabiashara bajeti ikisomwa

Na SAMMY WAWERU USHURU wa bidhaa mbalimbali upunguzwe zaidi ili kuzipa biashara afueni wakati huu janga la Covid-19 linaendelea...

BAJETI: Raila ala minofu Ruto akipiga miayo

Na PAUL WAFULA SERIKALI haijakoma kumkata miguu Naibu Rais William Ruto, wakati huu ikipunguza bajeti yake ya mwaka ujao wa kifedha kwa...

WASONGA: Bajeti inayosomwa leo haijali athari za corona

Na CHARLES WASONGA BAJETI ya kitaifa inaposomwa leo bungeni kuna maswali mengi ibuka kuhusiana na viwango vya fedha zilizotengewa...

Agnes Odhiambo ateuliwa mkuu wa NTSA

Na CHARLES WASONGA WIKI hii wabunge wanawake walilalama kwamba jinsia hiyo inadhulumiwa baada ya Seneta wa Nakuru Susan Kihika...

CORONA: Bunge kufanya kikao maalum kupitisha bajeti ya ziada

Na CHARLES WASONGA BUNGE la Kitaifa litafanya kikao maalum mnamo Jumatano wiki ijayo kupitisha mswada wa kufanikisha mpango wa serikali wa...

Pengo katika ofisi ya msimamizi wa bajeti laathiri serikali za kaunti

Na CHARLES WASONGA SERIKALI za kaunti zimeshindwa kuwalipa wafanyakazi wao mishahara baada ya kukabiliwa na changamoto ya kuitisha pesa...

TAHARIRI: Mizozo ya bajeti kauntini ikome

NA MHARIRI KUMEKUWA na matukio mengi ya mizozo kati ya madiwani na magavana kuhusu bajeti za serikali za kaunti mbalimbali. Katika...