• Nairobi
  • Last Updated May 24th, 2024 12:26 PM

Aliyenaswa na bangi ya Sh25m kushtakiwa

NA MAUREEN ONGALA MSHUKIWA wa ulanguzi wa dawa za kulevya, anatarajiwa kufikishwa mahakamani leo Jumatatu baada ya kupatikana...

Gari lililojaa bangi lanaswa baada ya kuhusika kwenye ajali ya barabarani

NA KENYA NEWS AGENCY POLISI walinasa bangi ya mamilioni ya fedha baada ya gari lililokuwa likiisafirisha kuhusika kwenye ajali katika...

Mzee na mwanawe wakamatwa kanisani wakivuta bangi

Na Mwangi Muiruri Mwanamume na mwanawe, walikamatwa Ijumaa usiku walipopatikana ndani ya kanisa moja Kaunti ya Murang’a wakivuta bangi...

Wakazi kupewa bangi baada kupokea chanjo

Na MASHIRIKA WATU wazima jijini Washington, Amerika, sasa wanaweza kuitisha msokoto wa bangi kama zawadi kwa kupokea chanjo ya Covid-19...

Waomba bangi ikubaliwe kufanyia ibada

Na RICHARD MUNGUTI WAUMINI wa Imani ya Rastafari (RSK) Jumatatu waliwasilisha kesi wakiitaka Mahakama Kuu ihalalishe matumizi ya bangi...

Ninapolewa na kuvuta bangi, ajuza wote hugeuka vipusa, shabiki wa Chelsea aambia mahakama

Na Richard Munguti KONDAKTA mwenye umri wa miaka 27 Jumanne aliwavunja watu mbavu mahakamani alipoungama kuwa akilewa pombe aliyoiita...

Hatua ya UN ‘kuhalalisha’ bangi yasifiwa na wengi

Na MASHIRIKA GENEVA, Uswisi WANAHARAKATI ambao kwa miaka mingi wamekuwa wakitetea matumizi ya bangi, Alhamisi walisifu hatua ya Umoja...

Bangi ya Sh400,000 yanaswa Nyali

NA MOHAMED AHMED Polisi katika Kaunti ya Mombasa wamepata misokoto kadhaa ya bangi vya dhamana ya Sh400,000. Mwanamke anayeaminika...

Maafisa wafanikiwa kunasa bangi na chang’aa katika nyumba moja mjini Thika

Na LAWRENCE ONGARO POLISI mjini Thika wamefanikiwa kunasa bangi na chang'aa katika mtaa wa Kisii. Kulingana na kamanda wa polisi...

Washtakiwa kupatikana na bandi ya mamilioni

Na Richard Munguti Washukiwa wanne wa mihadarati miongoni mwao raia wa Uganda walishtakiwa Jumanne kwa kasafirisha bangi iliyo na...

Polisi wasaka mlanguzi anayelazimu watu kuvuta bangi yake

Na SAMMY WAWERU POLISI katika Kaunti ya Murang’a wanamsaka mshukiwa wa ulanguzi wa bangi anayedaiwa kuwalazimu wanaotoa habari kumhusu...

Mhudumu wa mochari alilia korti aendelee kuvuta bangi

Na BRIAN OCHARO MWANAMUME alidai mahakamani kuwa mfanyakazi wa mochari, Alhamisi aliomba korti imruhusu aendelee kuvuta bangi, akisema...