• Nairobi
  • Last Updated April 17th, 2024 6:55 PM

2022: Mudavadi akataa Huduma Namba katika uchaguzi

Na BENSON MATHEKA KIONGOZI wa chama cha Amani National Congress (ANC), Musalia Mudavadi amepinga vikali matumizi ya Huduma Namba...

Kampeni ya kugawa Huduma Namba yaanza

Na KENYA NEWS AGENCY KAMPENI ya nyumba hadi nyumba imeanzishwa katika kaunti ya Garissa kwa ajili ya kusaka wenye kadi 9,000 za Huduma...

Wito wazee wa nyumba 10 walipwe kusambaza kadi za Huduma Namba

Na MAUREEN ONGALA WAKAZI wa Mtondia na Kibarani, Kaunti ya Kilifi wameitaka serikali ya kitaifa kuwalipa wazee wa nyumba kumi ili...

Vitambulisho vya kitaifa kufutiliwa mbali, Huduma Namba kutumika

Na SAMMY WAWERU Serikali imesema itafutilia mbali vitambulisho vya kitaifa mwishoni mwa mwaka huu au mwanzoni mwa mwaka ujao. Msemaji...

Kifo cha kitambulisho chaja Huduma Namba ikinukia

MARY WAMBUI na WANDERI KAMAU MUDA wa matumizi ya vitambulisho vya kitaifa miongoni mwa Wakenya utaisha rasmi Desemba 2021, baada ya...

Huduma Namba yachanganya Wakenya zaidi

CECIL ODONGO na VALENTINE OBARA MASWALI yameibuka upya kama serikali itafanikisha mpango wa Huduma Namba, baada ya Rais Uhuru Kenyatta...

NGILA: Huduma Namba itumie ‘Blockchain’ kufanikiwa

NA FAUSTINE NGILA Jina langu kwenye kitambulisho ni Faustine, lakini ajenti wa M-Pesa aliyenisajili kwenye huduma hiyo ya kutuma na...

WASONGA: Matiang’i na Kibicho watoe majibu kuhusu Huduma Namba

Na CHARLES WASONGA SERIKALI ilipoanzisha mpango wa kitaifa wa kusajili taarifa za Wakenya katika mfumo wa kidijitali (NIIMS) almaarufu...

Maswali 10 ya ‘Tangatanga’

Na WANDERI KAMAU MRENGO wa ‘Tangatanga’ Jumamosi uliitaka serikali kujibu maswali 10 kuhusu mpango wa kuwasajili upya Wakenya...

Kadi za Huduma Namba kupeanwa hivi karibuni

Na CHARLES WASONGA WAKENYA 37 milioni ambao walijisajili kwa Huduma Namba mwaka 2019 wataanza kupokea kadi hizo baada ya miezi...

Serikali yataka maoni ya Wakenya kuhusu Sheria ya Data

Na FAUSTINE NGILA SERIKALI kupitia Wizara ya Teknolojia, Habari na Mawasiliano imewaomba Wakenya wajitokeze kuchangia kuhusu kubuniwa...

Matiang’i atakiwa kueleza sababu ya makarani wa Huduma Namba kutolipwa

Na CHARLES WASONGA MASENETA wamemtaka Waziri wa Usalama na Masuala ya Ndani Fred Matiang’i na Katibu wa wizara hiyo Karanja Kibicho...