• Nairobi
  • Last Updated April 16th, 2024 6:55 PM

Mivutano kuhusu tiketi za ODM ‘itamharibia Raila’

VICTOR RABALLA NA KASSIM ADINASI WAWANIAJI viti katika ngome ya kiongozi wa ODM Raila Odinga ya Luo Nyanza, wameonywa dhidi ya mivutano...

Raila na Ruto bega kwa bega

Na WINNIE ONYANDO KINARA wa ODM Raila Odinga na Naibu Rais William Ruto kufikia sasa wako bega kwa bega kwenye kinyang’anyiro...

Raila atema washauri wa jadi, ateua wapya

Na LEONARD ONYANGO KINARA wa ODM, Raila Odinga amewatema baadhi ya washauri wake alioshirikiana nao kwa karibu kwenye uchaguzi mkuu wa...

Ruto, Raila wararuana Mombasa

BRIAN OCHARO na VALENTINE OBARA UBABE wa kisiasa kati ya Kiongozi wa ODM, Bw Raila Odinga, na Naibu Rais William Ruto katika Kaunti ya...

JAMVI: Uhatari wa ‘suti’ kwa Ruto, Raila

Na CHARLES WASONGA HATUA ya Naibu Rais William Ruto na kiongozi wa ODM Raila Odinga kushikilia kuwa wawaniaji wanaounga azma zao za...

Raila azindua safari ya ikulu kwa ahadi nyingi

Na WANDERI KAMAU KIONGOZI wa chama cha ODM, Bw Raila Odinga, jana alianza rasmi safari yake ya kuelekea Ikulu 2022, huku akipata...

Joho, Raila wakutana kabla Azimio la Umoja

Na ANTHONY KITIMO GAVANA wa Mombasa, Bw Hassan Joho, amehudhuria mkutano wa dharura na Kiongozi wa chama cha ODM, Bw Raila Odinga, kabla...

Mabwanyenye wa Mt Kenya leo ‘kupitisha’ Raila

Na KENNEDY KIMANTHI MABWANYENYE wa eneo la Mlima Kenya leo wanatarajiwa kumwidhinisha rasmi kiongozi wa ODM, Bw Raila Odinga, kama...

Ujanja mpya wa kampeni za Raila, Ruto

Na CHARLES WASONGA NAIBU Rais William Ruto na kiongozi wa ODM Raila Odinga wanaonekana kuendeleza mbinu za kampeni za kulambana visigino...

Matusi dhidi ya Raila yamwandama Uhuru

Na LEONARD ONYANGO MATAMSHI ya zamani ya Rais Uhuru Kenyatta ya kumdhalilisha Kiongozi wa ODM Raila Odinga yamegeuka kuwa kizingiti...

Raila alakiwa kishujaa Nyeri akiahidi urafiki wake na jamii ya Mlima Kenya utadumu milele

Na SAMMY WAWERU KIONGOZI wa ODM, Raila Odinga Jumamosi anaendeleza kampeni zake kutafuta uungwaji mkono eneo la Mlima Kenya kumrithi...

Ruto, Raila wakoroga chama cha Kingi PAA

MAUREEN ONGALA na ALEX KALAMA GAVANA wa Kaunti ya Kilifi, Bw Amason Kingi, anakabiliwa na kibarua kigumu cha kuamua mwelekeo ambao chama...