NA SAMMY WAWERU KIONGOZI wa Wiper Kalonzo Musyoka amedai kulikuwa na njama kuvamia shamba lake Yatta, Machakos ila wahuni...
[caption id="attachment_125091" align="aligncenter" width="500"] Viongozi na wanasiasa waliohudhuria Kongamano la Kitaifa la Jubilee Mei...
NA SAMMY WAWERU KATIBU Mkuu chama cha Jubilee Jeremiah Kioni amedai baadhi ya wabunge Azimio waliuza wadhifa wa spika, anaosema...
Rais mstaafu Uhuru Kenyatta katika Kongamano la Kitaifa la Jubilee, Jumatatu, Mei 22, 2023. Picha / LUCY WANJIRU
Na RUSHDIE OUDIA na CHARLES WASONGA KUCHELEWESHWA kwa uchaguzi wa mwenyekiti mpya wa Baraza la Wazee wa Jamii ya Waluo kuchukua nafasi...
NA BRIAN OCHARO SERIKALI ya Kenya imemtangaza raia wa Canada Asif Amirali Alibhai Jetha ambaye alihusishwa na biashara haramu ya...
NA MERCY KOSKEI SERIKALI ya Kaunti ya Nakuru imetoa ilani ya siku 21 kuzika miili 17 iliyohifadhiwa katika Hifadhi ya Hospitali ya Rufaa...
NA CHARLES WASONGA BARAZA la Kusimamia Biashara ya Vyuma Kuukuu (SMC) limetoa onyo kwa wadau wote katika sekta hiyo wanaoharibu...
NA CHARLES WASONGA WAZIRI wa Fedha Njuguna Ndung’u atasoma Bajeti ya Kitaifa ya Mwaka wa Kifedha wa 2023/2024 mnamo Juni 15,...
Na RICHARD MUNGUTI KUTAJWA kortini kwa jina la muhubiri Paul Mackenzie anayehusishwa na mauaji ya halaiki ya watu katika shamba la...
Na RICHARD MUNGUTI MAWAKILI watano wa Pasta Ezekiel Odero ambaye akaunti 30 za kanisa lake, New Life Prayer Center and Church (NLPCC)...
Na WANGU KANURI WAKILI Miguna Miguna ameiomba serikali kuwafunga jelani wahusika wakuu wa kuuza sukari ya sumu kwa umma pamoja na wale...