NA CECIL ODONGO WANAUME wanene wanahangaishwa na maradhi zaidi kuliko wanawake, Utafiti umebaini. Watafiti kutoka Chuo Kikuu cha York...
NA WANGU KANURI WIKI jana Wakenya walikabiliwa na hali ya mfadhaiko na wasiwasi baada ya kuripotiwa kwa mkurupuko wa ugonjwa wa kisonono...
NA CECIL ODONGO WAZEE wanahitaji kunywa maji mara kwa mara hata wasipohisi kiu kuliko vijana, utafiti umebaini. Japo kunywa maji mara...
Mpendwa Daktari, Ni nini kinachosababisha kinyesi kutoka kikiwa kimechangamana na damu? Lilian, Nairobi Mpendwa Lilian, Melena kwa...
Mpendwa Daktari, Homa ya mapafu (Nimonia) husambaa vipi? Irene, Nairobi Mpendwa Irene, Nimonia ni ugonjwa unaoathiri moja au mapafu...
NA WANGU KANURI IWAPO unatumia simu yako kupekua mtandao, kucheza michezo mbalimbali, kupiga gumzo, kuangalia baruapepe kwa muda mrefu...
NA WANGU KANURI BODI ya Dawa na Sumu (PPB), imeraiwa kuchunguza kliniki na maduka yanayouza dawa, kubaini yanayouza dawa ya ketamine...
NA PAULINE ONGAJI NI siku chache tu baada ya Kenya kumuaga aliyekuwa mtangazaji nyota wa televisheni marehemu Catherine Kasavuli,...
NA MARGARET MAINA [email protected] MLO wa moyo hutanguliza vyakula kama vile mboga mboga, nafaka nzima, na samaki wenye mafuta....
NA MARGARET MAINA [email protected] Inasikitisha wakati uzani wako unaendelea kuongezeka hata wakati unakula kidogo. Makosa ya...
NA MARGARET MAINA [email protected] SUKARI nyeupe au sukari iliyosafishwa kama inavyofahamika, ni kiungo cha kawaida...
NA MARGARET MAINA [email protected] KUNYWA maji ya kutosha kila siku ni muhimu kwa sababu nyingi zikiwemo kusaidia kudhibiti...