• Nairobi
  • Last Updated April 15th, 2024 2:15 PM

Carrol Sonie, Mulamwah waambiwa watoto si wa kuingizwa kwa mzozo wao

NA FRIDAH OKACHI MWIGIZAJI Caroline Muthoni almaarufu Carrol Sonie amechukua hatua ambayo baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii...

Kuna wakati nilitaka kujitoa uhai sababu ya jumbe nyingi za chuki – Azziad Nasenya

NA FRIDAH OKACHI MWANAKONTENTI Azziad Nasenya amewashukuru mashabiki na familia yake kumjulia hali, baada ya kuzungumzia jinsi...

Hivi mnajua anachofanya mkewe Guardian Angel kudumisha shepu mnayoiona?

NA SINDA MATIKO MKE wa msanii wa injili Guardian Angel, Esther Musila mwenye umri wa miaka 52, amefichua siri ya umbo na mwonekano wake wa...

Bila shamba la ekari 50 hutamuoa Awinja, waume wanaommezea mate waambiwa

NA FRIDAH OKACHI MWIGIZAJI na mwanakotenti Jacky Vike almaarufu Awinja, ameweka wazi anahitaji mwanamume atakayemuoa ila atahitaji kuona...

Kundi la Les Wanyika lakutana Garden Square Jumamosi kujikumbusha walikoanzia miaka 45 iliyopita

NA JOHN ASHIHUNDU Kundi maarufu la muziki wa dansi la Les Wanyika leo Jumamosi linarejea katika ukumbi wa mkahawa wa Garden Square...

Diamond afunguka kuhusu madai ya kupunja wasanii wa Wasafi

NA SINDA MATIKO BAADA ya kumtambulisha msanii mpya, Diamond Platnumz sasa anasema yeye kuwasaini wasanii ni kuwafanyia hisani. Wiki...

Seneta mwenye ulemavu wa macho asisimua kwa kuzindua albamu ya HipHop

NA FRIDAH OKACHI SENETA maalum Crystal Asige amezindua albamu mpya inayofahamika kama Blinding Allure, yenye nyimbo sita. Albamu hiyo...

Mambo yamechemka: Mulamwah, Ruth K watangaza wanatarajia mtoto pamoja

NA FRIDAH OKACHI MPENZI wa Mulamwah, Ruth K ameweka wazi kwamba anao ujauzito kutokana na picha ambayo ameiweka kwenye mtandao wa kijamii...

Anapigwa mawe akiyageuza gorofa: Diana Marua aingia orodha ya 10-bora YouTube Afrika Mashariki

NA MERCY KOSKEI Mwanakontenti wa YouTube Diana Marua amepata nafasi ya 10 katika orodha ya wasanii wa kike walio na...

Mcheshi Mtumishi afanyiwa patanisho na mamake

NA FRIDAH OKACHI MCHEKESHAJI Gilbert Barasa almaarufu Mtumishi alipatanishwa na mamake mzazi kupitia njia ya simu na mtangazaji Massawe...

Akothee aliyeoga na kurudi soko, ametwaliwa tena na ‘Ex’ Nelly Oaks?

Na MERCY KOSKEI MWANAMUZIKI Akothee amewaacha wanamitandao na maswali mengi ikiwa wamerudiana na meneja wake wa zamani, Nelson Oyugi...

Avril achanganya mashabiki kwa kumsamehe J Blessing aliyedai alimpiga

NA FRIDAH OKACHI MWANAMUZIKI Avril Nyambura aomba mashabiki wake kumsamehe Produsa Jibril Blessing kwa tuhuma za kumchapa na...