• Nairobi
  • Last Updated April 19th, 2024 6:55 AM

Muigizaji Omosh aeneza injili ya ukombozi baada ya kuacha pombe

NA WANDERI KAMAU MNAMO Februari 2021, mwigizaji Joseph Kinuthia, maarufu kama ‘Omosh’, alishangaza Wakenya wengi, alipobubujikwa na...

Mama wa miaka 55 afichua siri kudumisha nywele za rasta

NA MWANGI MUIRURI MAMA wa miaka 55 kutoka Kaunti ya Nairobi ambaye amefuga rasta kwa miaka 15 hadi sasa anasema nywele hizo huhitaji...

Kinaya mafuriko yakitatiza jiji licha ya mikakati kuzuia athari

NA WANDERI KAMAU MNAMO Septemba mwaka uliopita, Gavana Johnson Sakaja wa Nairobi alizindua mipango kabambe ya kulitayarisha jiji dhidi...

Umuhimu wa kujiandikia kiapo cha ndoa  

NA BENSON MATHEKA BAADA ya kuvishwa pete, Leah Ambani, aliomba maikrofoni, akachukua karatasi iliyopigwa chapa kutoka kwa msaidizi wake,...

Maono yanavyosaidia kukabiliana na changamoto katika biashara

NA BENSON MATHEKA Ikiwa hauna maono, usiharibu pesa zako kuanzisha biashara kwa kuwa hautafaulu hata kama umeisomea. Na ukiwa na...

Presha za Joe Nyutu Murang’a iimarike

NA MWANGI MUIRURI PRESHA za Seneta Joe Nyutu wa Murang'a kwa serikali ya kitaifa na kaunti zimeishia kuzaa matunda kemkem ya kimaendeleo...

Mikakati ya kuzima wanafunzi wanaotumia ChatGPT kufanya udanganyifu

NA WANDERI KAMAU KATIKA ulimwengu wa sasa ambapo mpenyo wa teknolojia unaendelea kushika kasi, wahadhiri katika vyuo vikuu tofauti nchini...

Hofu kuzaana kuongeza kura kutaangusha Mlima Kenya

NA MWANGI MUIRURI KINAYA kimezuka katika eneo la Mlima Kenya ambapo wanasiasa wamezindua mchakato wa kuwataka wenyeji wazaane kwa wingi...

Wanaume waunguziwa chakula na wake watazamaji wa vipindi

NA FRIDAH OKACHI BAADHI ya wanaume sasa wanalalamika kwamba wake wao wanawapikia na kuwapakulia chakula kilichoungua kwa sababu ya...

Muziki unaimarisha ubongo na uwezo wa kukumbuka – Wataalamu

NA BENSON MATHEKA IKIWA husikilizi muziki, unakosa kitu muhimu kwa afya yako ya akili, kulingana na wataalamu. Kusikiliza muziki ni...

Jinsi Bassirou Faye alivyolala ‘maskini’ na kuamka akiwa tajiri

MASHIRIKA Na WANDERI KAMAU USHINDI wa rais mteule wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, ni sawa na mtu kulala maskini na kuamka akiwa...

Hii ndio siri ya kufaulu katika biashara

NA BENSON MATHEKA KABLA ya kuanzisha mradi wowote wa kibiashara, fanya utafiti kwanza, kisha utie bidii, uwaelewe wateja wako vyema na...