• Nairobi
  • Last Updated March 5th, 2024 2:24 PM

Mwanamke ni shujaa

Na Assumptah Wausi Mwanamke ni shujaa , biashara kakamka Si wa jikoni malkia, hakika amechupuka Tafuta ametambua, ki fedha...

SHAIRI: Msichana ni muhimu, heri kumsaidia

NA ASSUMPTA WAUSI Dunia maji ya ndimu, ni chungu wewe sikia Siteti si soga humu, nasema huu wosia Dunia kama hakimu, uzimlika...

SHAIRI: Korona kufuli nzito

NA LEVIS TUNJE Jina ninaitwa Ndoro,  nimekwama chuoni Moi. Masomo yanakasoro,  Korona yanacha hoi. Virusi ni minyororo, ...

SHAIRI: Ndoto yangu yazimika

Na Sylvester Kibet Kiplagat  Msinidhulumu nina haki, Msinidunishe kwa kuwa msichana, Nina haki ya kupata elimu kama...

SHAIRI: Ubakaji kama makaa

NA ASSUMPTA WAUSI Kungwi ninayo barua, maisha kisulisuli Nicheze yangu gitaa, ujumbe ufike mbali Wifi ,halati bavyaa, mtambue...

SHAIRI: Msirarue maisha yangu

Nanena nisikike, Nitambulike nipewe haki yangu, Hadhi yangu nipate, Heshima zangu nipokee.   Elimu kamwe...

Eliud Kipchoge asema yuko tayari kutetea ubingwa wa London Marathon

  Na GEOFFREY ANENE “Nahisi niko sawa kabisa na ninafurahia kurejea hapa.” Huo ndio ujumbe kutoka kwa mshikilizi wa rekodi ya...

Omondi kurejelea ukocha baada ya kukosa klabu kwa miezi saba

Na CHRIS ADUNGO MKUFUNZI wa zamani wa Nzoia Sugar, Collins ‘Korea’ Omondi amefichua azma ya kurejelea majukumu ya ukocha msimu ujao...

BURIANI WALIBORA: Washairi watumia ubunifu wao kumwomboleza ‘Shakespeare’ wa Kiswahili

BURIANI PROFESA Weye kweli ni shujaa, ninasema duniani Kifo chako meduwaa, kusikia redioni Mafunzoyo yatang'aa, daima...

SHAIRI: Corona janga hatari, limetunyima raha

  Kila mbwa ana siku, kauli ya wahenga, Kwamba corona janga, ni pigo la Rabana, Moshi wa huzuni, umeilemaza dunia, Hatuna...

MASHAIRI: TUWE ANGE

TUWE ANGE Sichoki kuambieni, jambo jema la fanaka Nyote mjiandaeni,yafao kuajibika Msingoje maishani, kujua ya kuepuka Sisi...

SHAIRI: Tumpe jina gani?

Tunasaka jina lake, kiumbe al'e mgeni, Mie pia na mamake, mengi twayatathimini, Yapo majina ya kike, ya leo na ya zamani, Nishauri...