• Nairobi
  • Last Updated December 5th, 2023 10:25 PM

Ni rasmi kwamba riba za benki zitakuwa juu sasa

Na CHARLES WASONGA NI rasmi sasa kwamba mikopo ya benki itakuwa ghali mno kwani benki zitakuwa huru kutoza viwango vya riba...

KINA CHA FIKIRA: Nahiari kusema benki badala ya banki, japo yote yanakubalika

Na KEN WALIBORA NILIKWENDA hospitalini majuzi yale kuangaliwa meno nikakutana na mpokezi aitwaye Jennifer Mbwali. Jambo la kwanza...

CBK yashikilia tafsiri sahihi ya ‘Bank’ ni ‘Banki’ kwenye noti mpya

Na CHARLES WASONGA MKUU wa kitengo cha mawasiliano katika Benki Kuu ya Kenya Wallace Kantai (pichani) Jumatano alizima mjadala kuhusu...

Benki 5 zaungana kuzifaa biashara ndogo kwa mikopo bila wadhamini

Na BERNARDINE MUTANU Benki tano zimeungana kwa lengo la kutoa mikopo kwa wenye biashara ndogo na za wastani. Wafanyibiashara hao...

Ukweli kuhusu kufungwa kwa Chase Bank wafichuliwa

Na RICHARD MUNGUTI MFANYAKAZI wa ngazi za juu katika benki ya National (NBK) Jumatatu alieleza sababu za kufungwa kwa benki ya Chase...

KCB na National Bank kubuni benki yenye thamani ya Sh1 trilioni

Na BERNARDINE MUTANU Kuungana kwa benki ya Kenya Commercial na National Bank kutazaa benki moja kubwa zaidi, iliyo na thamani ya Sh1...

CBK yaonya benki kuhusu wafanyakazi walaghai

Na BERNARDINE MUTANU Benki Kuu ya Kenya (CBK) imezitaka benki kuimarisha ukaguzi wa wafanyikazi wake na biashara za nje. Hii ni kutokana...

NGILA: Teknolojia pekee haitoshi kuzima wizi wa pesa za benki

Na FAUSTINE NGILA MATUKIO ya wizi wa takribani Sh11.6 milioni wikendi ya Pasaka katika mashine za ATM za benki ya Barclays uliwashtua...

Benki ya Diamond yavuna faida ya Sh11 bilioni

Na BERNARDINE MUTANU BENKI ya Diamond Trust imetangaza ongezeko la asilimia tisa la faida kabla ya kutozwa ushuru. Katika mwaka...

Benki mashakani kuhusu uuzaji wa nyumba

Na RICHARD MUNGUTI MFANYABIASHARA ameishtaki benki kwa kuuza jumba lake kwa bei ya chini na kuomba mahakama kuu iamuru alipwe fidia ya...

Benki zilizofanikisha ufisadi NYS kuona cha moto

Na CHARLES WASONGA MKURUGENZI wa Mashtaka ya Umma (DPP) Noordin Haji amesema benki ambazo zilitumika kufanikisha wizi wa pesa za umma...

SAKATA YA NYS: Benki sita kuchunguzwa zilivyosaidia wizi wa mabilioni

Na BENSON MATHEKA UCHUNGUZI wa kashfa za mabilioni ya pesa kutoka idara za serikali sasa utaelekezwa katika benki ambazo pesa hizo...