• Nairobi
  • Last Updated February 29th, 2024 5:13 PM

Hofu wazee wakipoteza pesa katika kamari

Na OSCAR KAKAI WASIWASI umeibuka kuhusu wazazi na wakazi wa miji mikubwa katika kaunti ya Pokot Magharibi wanaopoteza pesa wakishiriki...

Wazee wacheza kamari kuliko vijana – ripoti

Na KEVIN ROTICH WAZEE wa zaidi ya umri wa miaka 55 wanaongoza kwa kucheza kamari nchini, imebainika. Ripoti ya utafiti uliofanywa na...

Ibada iliyoangusha kampuni za kamari za Betin, SportPesa

Na PAUL WAFULA MASAIBU ya kampuni ya SportPesa na kampuni nyingine za uchezaji kamari yalianza Mei mwaka uliopita, baada ya ibada moja...

Kamwe serikali haitaruhusu kamari kurejea – Matiang’i

NA FAUSTINE NGILA Waziri wa Masuala ya Ndani Fred Matiang’i Ijumaa alisema kuwa serikali kamwe haitalegeza sheria za kamari...

Bendtner akiri alipata funzo la mwaka kupoteza Sh700m katika kamari

Na GEOFFREY ANENE MSHAMBULIAJI wa zamani wa Arsenal, Nicklas Bendtner amesimulia jinsi alivyopata funzo kali katika mchezo wa karata...

COVID-19: Kampuni za kamari zatoa mchango wa Sh5m ziwafae wanamichezo

Na GEOFFREY ANENE CHAMA cha kampuni za kamari nchini Kenya kimeongeza Sh5 milioni katika mfuko wa serikali wa kusaidia wanamichezo...

Pombe, mitambo ya kamari na bangi yateketezwa Thika

Na LAWRENCE ONGARO WALANGUZI wa dawa za kulevya, watengenezaji pombe haramu na wachezaji kamari wamepewa ilani wajiondoe kwa biashara...

Waliomlaghai mama Sh40,000 wauawa na umati

Na SAMMY KIMATU [email protected] WANAUME wawili walioshukiwa kumlaghai mwanamke Sh40,000 walipigwa na kuuawa na umma baada...

BBI: Mashirika ya kamari ya kibinafsi kuharamishwa

Na LEONARD ONYANGO KAMPUNI za kamari za kibinafsi huenda zikapigwa marufuku nchini endapo ripoti ya BBI itatekelezwa na...

Sportpesa yaruhusiwa kerejelea biashara

NA BRIAN OKINDA [email protected] KAMPUNI ya Sportpesa imejiunga na baadhi ya kampuni zingine za kamari nchini...

Uhuru akaa ngumu kuhusu marufuku ya kampuni za kamari

Na ANITA CHEPKOECH WARAIBU wa mchezo wa kamari wataendelea kuumia kiuchumi, baada ya Rais Uhuru Kenyatta kusema kwamba kampuni za...

Kampuni za kamari ziruhusiwe kuendelea kuhudumu – Maseneta

Na CHARLES WASONGA MASENETA wameitaka serikali kuziruhusu kampuni za kamari ambazo leseni zao zilifutiliwa mbali kuendelea na shughuli...