• Nairobi
  • Last Updated April 17th, 2024 6:55 PM

ODM yakana Oparanya aelekea kwa Ruto

Na BENSON MATHEKA CHAMA cha ODM, kimekanusha ripoti kwamba naibu kiongozi wake, Bw Wycliffe Ambetsa Oparanya amekisaliti na anapanga...

Malala na Oparanya wazozania kura ya Matungu

Na SHABAN MAKOKHA MGOGORO mkali wa kisiasa unatokota katika Kaunti ya Kakamega kati ya Gavana Wycliffe Oparanya na Seneta wa kaunti hiyo...

CoG yashutumiwa kwa kuzima matangazo ya biashara na NMG

Na CHARLES WASONGA BARAZA la Vyombo vya Habari Nchini (MCK) limelikashifu baraza la magavana (CoG) kwa kuagiza serikali za kaunti kuzima...

Madiwani sitisheni wimbi la kuwaondoa magavana, Oparanya arai

Na CHARLES WASONGA MWENYEKITI wa Baraza la Magavana (CoG) ambaye pia ni Gavana wa Kakamega Wycliffe Oparanya na Waziri wa Ugatuzi Eugene...

Magavana wataka Wizara ya Fedha ifuate maagizo

Na NDUNGU GACHANE BARAZA la Magavana (COG) sasa linataka Wizara ya Fedha kuheshimu uamuzi wa Mahakama na kutuma mgao wa pesa kwa...

Oparanya akashifu wakaguzi wa vitabu vya fedha

Na MWANDISHI WETU MWENYEKITI wa Baraza la Magavana (CoG) Wycliffe Oparanya amewashutumu baadhi ya wakaguzi wa vitabu vya fedha dhidi ya...

Nyumba ya Oparanya ya Sh70m yatengewa Sh10m zaidi

NA BENSON AMADALA SERIKALI ya Kaunti ya Kakamega imetenga Sh10 milioni kwenye bajeti yake ya mwaka wa kifedha 2019/20 kukamilisha ujenzi...

Nipe nafasi niwanie urais 2022, Oparanya amwambia Raila

Na PETER MBURU GAVANA wa Kakamega Wycliffe Oparanya sasa anasema eneo la magharibi limechoka kuwa chini ya kivuli cha kiongozi wa chama...

Ziara ya Raila nyumbani kwa Oparanya yaibua maswali

BENSON AMADALA na CHARLES WASONGA ZIARA ya kiongozi wa ODM Raila Odinga nyumbani kwa Gavana wa Kakamega imewaacha wengi na maswali baada...

Oparanya alalama kiwango cha elimu nchini kinadorora

NA SHABAN MAKOKHA GAVANA wa Kaunti ya Kakamega, Wycliffe Oparanya, amesikita kwamba kiwango cha elimu nchini kinaendelea kushuka, baada...

Mimi si mwandani wa Ruto – Oparanya

Na Ibrahim Oruko MWENYEKITI wa Baraza la Magavana (CoG) Wycliffe Oparanya amekanusha ripoti kwamba yu miongoni mwa washirika wa karibu...

2022: Cheo kipya cha Oparanya kitang’arisha nyota yake kisiasa?

Na CHARLES WASONGA KUCHAGULIWA kwa Gavana wa Kakamega Wycliffe Ambetsa Oparanya kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Magavana (CoG) kumemweka...