• Nairobi
  • Last Updated April 17th, 2024 7:55 PM

Njama ya Uhuru kubomoa Ruto yafichuka

Na BENSON MATHEKA MIKAKATI ya Rais Uhuru Kenyatta ya kubomoa umaarufu ambao Naibu Wake William Ruto amejenga eneo la Mlima Kenya imeanza...

Viongozi Mlima Kenya watazuru Nyanza kuthibitisha wanaunga mkono Raila – Orengo

Na MWANDISHI WETU UJUMBE wa viongozi waliochaguliwa eneo la Mlima Kenya utazuru Nyanza kuthibitishia wenyeji kwamba ngome ya Rais Uhuru...

Kanini Kega abadili kauli ya kumuunga Raila 2022, asema ‘Gideon Moi tosha’

Na SAMMY WAWERU MBUNGE wa Kieni Bw Kanini Kega ameonekana kubadilisha kauli yake ya kumuunga mkono kiongozi wa ODM, Raila Odinga kuwania...

KANU yamteua Gideon Moi kuwania urais 2022

Na SAMMY WAWERU KIONGOZI wa chama cha KANU Bw Gideon Moi ameteuliwa kupeperusha bendera ya chama hicho kuwania kiti cha urais katika...

KINYUA BIN KINGORI: Vyama vya kisiasa vinavyoendesha ukabila visisajiliwe

Na KINYUA BIN KINGORI KULINGANA na Katiba, Kifungu 91 (2) (a) kinasema kuwa chama cha kisiasa hakitabuniwa kwa misingi ya dini, lugha,...

CECIL ODONGO: Yashangaza mno wazee kutawaza watu kiholela

Na CECIL ODONGO Hatua ya mabaraza ya wazee ya kuwatawaza na kuwaidhinisha wanasiasa wanaomezea mate kiti cha urais mwaka ujao kiholela...

Fimbo ya maaskofu yawaumiza

Na CECIL ODONGO MARUFUKU ya kutozungumza siasa makanisani ambayo ilitolewa na baadhi ya viongozi wa kidini imeanza kuwaumiza wanasiasa...

Raila tosha 2022, Joho asema

Na WINNIE ATIENO GAVANA wa Mombasa Hassan Joho ametupilia mbali azma yake ya kuwania urais na kuamua kuunga mkono azma ya kiongozi wa...

Magavana waunda vyama vipya kuepuka baridi 2022

Na LEONARD ONYANGO MAGAVANA wanaohudumu muhula wa pili wamekimbilia kuunda vyama katika juhudi za kukwepa baridi ya kisiasa...

MSIMU WA KUNUNUA BARAKA

Na CHARLES WASONGA UCHAGUZI mkuu ujao unapoendelea kukaribia, wanasiasa wanaomezea mate viti mbalimbali, hasa kile cha urais, wamekuwa...

Wanasiasa wasukuma vijana wachukue vitambulisho

Na GEORGE ODIWUOR WANASIASA katika eneo la Nyanza wamelaumiwa kwa kuwasikuma vijana wachukue vitambulisho kila mara uchaguzi...

CECIL ODONGO: Kupe wa kisiasa wataponza Mudavadi na Kalonzo 2022

Na CECIL ODONGO KINARA wa Wiper Kalonzo Musyoka na mwenzake wa ANC Musalia Mudavadi wanafaa wajihadhari na baadhi ya wabunge na maseneta...