• Nairobi
  • Last Updated February 23rd, 2024 12:48 PM

Vuguvugu la Umoja Mlimani lasambaratika

ANITA CHEPKOECH na MERCY SIMIYU VUGUVUGU la Umoja wa Mlima Kenya (MKUF) limesambaratika na sasa kila chama kitasimamisha wawaniaji wake...

Kiunjuri awaonya Ruto na Raila kuhusu wawaniaji

Na CHARLES WANYORO ALIYEKUWA Waziri wa Kilimo, Mwangi Kiunjuri, ametoa wito kwa Naibu Rais William Ruto na kiongozi wa ODM Raila Odinga...

Kiunjuri avuna wawaniaji 20 wakiingia TSP

Na GEORGE MUNENE Kiongozi wa chama The Service Party, Mwangi Kiunjuri, amepigwa jeki baada ya wawaniaji 20 wa kiti cha udiwani kutoka...

Ataka mkataba kati ya viongozi Mlimani na wawaniaji Urais

Na CHARLES WANYORO ALIYEKUWA Waziri wa Kilimo Mwangi Kiunjuri, amewataka viongozi waliochaguliwa kutoka ukanda wa Mlima Kenya kutia...

Kiunjuri aonekana kuasi Ruto na kujiunga na ‘Baba’

Na CHARLES WASONGA WAZIRI wa zamani wa Kilimo Mwangi Kiunjuri ameonyesha dalili za kuunga mkono ndoto ya kiongozi wa ODM Raila Odinga ya...

Kiunjuri ashauri Ruto ashirikiane na vyama vingine

Na JAMES MURIMI KIONGOZI wa chama cha TSP, Mwangi Kiunjuri, amemrai Naibu Rais William Ruto kubuni ushirikiano wa kisiasa na viongozi wa...

Kiunjuri ajipendekeza kuwa naibu wake Ruto

Na JAMES MURIMI KIONGOZI wa chama cha The Service Party (TSP), Bw Mwangi Kiunjuri amesema ndiye mwanasiasa kutoka Mlima Kenya anayefaa...

Kiunjuri aonya Rais asijiongeze muda

Na STEVE NJUGUNA KIONGOZI wa chama cha The Service Party (TSP) Mwangi Kiunjuri, amesema kwamba Rais Uhuru Kenyatta na serikali yake,...

Kiunjuri abadilisha wimbo, sasa asakata Reggae ya BBI

Na JAMES MURIMI ALIYEKUWA waziri wa Kilimo Mwangi Kiunjuri, amebadili msimamo wake kuhusu Mpango wa Maridhiano (BBI) na kuwataka Wakenya...

Kiunjuri aashiria kuunga mkono mswada wa BBI

Na CHARLES WASONGA ALIYEKUWA Waziri wa Kilimo Mwangi Kiunjuri amebadilisha msimamo na kutangaza kuwa anaunga mkono marekebisho ya Katiba...

JAMVI: Ishara The Service Party ndilo dau jipya la Ruto kuwania urais

Na WANDERI KAMAU HATUA ya aliyekuwa Waziri wa Kilimo, Bw Mwangi Kiunjuri, kuzindua chama kipya cha The Service Party (TSP) Jumatano,...

Wakulima wa miwa wamtaka Kiunjuri ajiuzulu

Na RUTH MBULA WAKULIMA wa miwa wanamtaka Waziri wa Kilimo, Bw Mwangi Kiunjuri ajiuzulu wakidai ameshindwa kusuluhisha changamoto...