• Nairobi
  • Last Updated February 23rd, 2024 12:48 PM

BI TAIFA JANUARI 28, 2021

PARIS THUO, 21, ni mwanafunzi wa uanahabari katika Chuo Kikuu cha Maasai Mara. Uraibu wake ni kusoma riwaya, kutazama filamu na kupiga...

BI TAIFA JANUARI 27, 2021

MGENI wetu leo ni Sharon Mbaika, 21. Ni mzaliwa wa Kitui. Yeye ni mwanafasheni. Uraibu wake ni kushiriki kwenye majukwaa ya mapambo,...

BI TAIFA JANUARI 26, 2021

JACKLINE Nyawira, 20, ni mzaliwa wa Nyeri. Yeye ni mwanafunzi katika chuo kikuu cha Kenyatta kwa sasa anakosomea udaktari. Uraibu wake ni...

BI TAIFA JANUARI 25, 2021

DAMARIS Wangoi, 23, kutoka Nakuru ndiye anatupambia ukurasa leo. Yeye ni mjuzi wa masuala ya vipodozi. Uraibu wake ni kutazama filamu za...

BI TAIFA JANUARI 8, 2021

MARGARET Nyambura, 22, ni mkazi wa Free Area, Kaunti ya Nakuru. Ni mfanyabiashara na uraibu wake ni kuogelea, kusafiri na kusakata densi....

BI TAIFA JANUARI 7, 2021

RUTH Mukami ni mfanyabiashara mjini Elburgon katika Kaunti ya Nakuru. Uraibu wake ni kusafiri na kuimba. Picha/ John Njoroge

BI TAIFA JANUARI 6, 2021

EUNICE Wambui, mfanyabiashara mjini Nakuru ndiye anayetupambia ukurasa huu hii leo. Uraibu wake ni kusafiri, kusikiliza muziki na...

BI TAIFA JANUARI 5, 2021

ESTHER Wanjiru, 22, ndiye mgeni wetu leo. Yeye ni mwanafasheni na mkazi wa mtaa wa Barnabas eneo la Lanet. Uraibu wake ni kuogelea na...

BI TAIFA JANUARI 4, 2021

JILL AMONDI, 21, ni mwanamitindo wa Beauty Therapy kutoka Kaunti ya Nakuru. Uraibu wake ni kucheza voliboli na kusakata densi. Picha/...

BI TAIFA NOVEMBA 05, 2020

Margaret Njeri 22, ni mkazi wa eneo la Lanet, Kaunti ya Nakuru. Yeye ni mwanamitindo na mwanahabari chipukizi. Uraibu wake ni kusafiri na...

BI TAIFA NOVEMBA 04, 2020

Everlyn Mugo 22, ni mkazi wa eneo la Umoja Lanet, Nakuru na amepiga hatua katika tasnia ya uanamitindo .Uraibu wake ni kusikiliza muziki wa...

BI TAIFA NOVEMBA 03, 2020

Njehia  Waringa 22, ni mkazi wa eneo la Freehold kaunti ya Nakuru. Yeye ni mwanafunzi katika Chuo Cha JKUAT Nairobi. Uraibu wake ni kusoma...