• Nairobi
  • Last Updated December 6th, 2023 9:00 PM

Demu aanika siri za ndoa yake, rafiki yake apindua ajenda kwa kukwachua mume

NA JANET KAVUNGA SHANZU, MOMBASA MWANADADA wa hapa anajuta kuanika siri za ndoa yake kwa rafiki yake ambaye alizitumia kupindua...

Pasta ‘fisi’ alia akilaumu muumini kwa kumpokonya demu

NA JOHN MUSYOKI IMENTI, MERU PASTA barobaro wa hapa alimlaumu muumini wa kanisa alilokuwa akishiriki kwa kumharibia mpango wa kuoa demu...

Pasta amuumbua mkewe hadharani, waumini wabaki na alama ya mshangao!

NA JANET KAVUNGA RABAI, KILIFI WAUMINI wa kanisa moja hapa walibaki vinywa wazi pasta wao alipomkemea mkewe mbele yao. Pasta huyo...

Sitaki kusikia habari zenu, demu aambia mapolo ‘stingy’

NA JANET KAVUNGA MOMBASA MJINI MWANADADA wa hapa, aliwakemea wanaume wawili waliokuwa wakimmezea mate akiwalaumu kwa kuwa mkono...

Demu aamua wanaommezea mate wafanye ‘interview’

NA JANET KAVUNGA SHANZU, MOMBASA MWANADADA wa hapa aliwaita makalameni wawili waliokuwa wakimmezea mate kwa kikao na kutaka kila...

Kidudu-mtu asambaza umbea kwa mke wa polo aliyekutana na ‘ex’ kisiri

NA JANET KAVUNGA MALINDI MJINI JOMBI wa hapa alijuta kukutana na mpenzi wake wa zamani, mkewe alipopata habari na kumfokea...

Mke alia akidai mume hampi haki yake chumbani

NA CORNELIUS MUTISYA MUTITU, MACHAKOS KIOJA kilishuhudiwa hapa mwanadada alipozushia mumewe akimlaumu kwa kumnyima haki yake ya tendo...

Jombi aduwaa binti kumrushia mistari motomoto ya mapenzi

NA JANET KAVUNGA BAMBURI, MOMBASA BAROBARO aliyefika eneo hili kujivinjari, alibaki mdomo wazi kipusa anayefanya kazi katika hoteli...

Pasta ageuka mgonganishaji wa waliopoteza mpendwa wao

NA CORNELIUS MUTISYA IVETI, MACHAKOS PASTA mmoja eneo hili, aliwaudhi waombolezaji alipodai marehemu alitolewa kafara na jamaa...

Boda ‘fisi’ wa kubeba vipusa bure aacha kazi bei ya petroli ilipopanda

NA DENNIS SINYO MASABA, CHEPTAIS JOMBI aliyekuwa na mazoea ya kubeba vidosho bila kuwalipisha kwenye pikipiki yake, ameacha kazi hiyo...

Mume ameniruhusu nitafute madume wa kumsaidia kazi, demu afunguka

Na JANET KAVUNGA BAMBURI, MOMBASA MWANADADA aliyeolewa hapa aliacha wenzake midomo wazi alipowaambia kwamba mumewe amemhurusu awe...

Mganga atisha kumdhuru mteja aliyeshindwa kukamilisha malipo ya kukingiwa boma

NA CORNELIUS MUTISYA NZAIKONI, MACHAKOS MGANGA mmoja alizua rabsha katika boma la buda mteja wake akidai malipo ya huduma. Ilifichuka...