• Nairobi
  • Last Updated February 26th, 2024 9:50 AM

Rais Tshisekedi wa DRC ahifadhi kiti chake

MASHIRIKA na CHARLES WASONGA KINSHASA, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) RAIS wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Felix...

Wanajeshi 1, 000 wa Burundi walitumwa kisiri mashariki mwa DRC

NA MASHIRIKA ZAIDI ya wanajeshi 1, 000 wa Burundi walitumwa kisiri Mashariki kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Oktoba,...

Urusi yaponda Ukraine kwa mabomu, yaua 30

NA MASHIRIKA MAAFISA wa Ukraine wamesema kuwa takriban watu 30 waliuawa na wengine zaidi ya 140 wakajeruhiwa baada ya Urusi kulenga miji...

Korti yaagiza mwekezaji kutoka Rwanda arudishiwe Sh400m

NA RICHARD MUNGUTI NAIROBI, KENYA RAIA wa Rwanda Desire Muhinyuza atasherehekea Mwaka Mpya 2024 akiwa na amani na utulivu moyoni,...

Mvumbuzi wa bastola ya Glock aaga dunia

NA MASHIRIKA GASTON Glock, mhandisi na bwanyenye aliyetengeneza bastola aina ya Glock 17, aliaga dunia Desemba 27, 2023, akiwa na umri...

Aachiliwa miaka 48 baadaye kwa kosa ambalo hakutenda

NA WANDERI KAMAU MWANAMUME nchini Amerika ameachiliwa gerezani baada ya kufungwa miaka 48, alipopatikana bila hatia kutokana na mashtaka...

Raia wa Uganda wafurika Kenya kununua bidhaa

NA DAILY MONITOR MAMIA ya raia wa Uganda wanavuka mpaka wa Busia kuingia nchini Kenya ili kununua bidhaa kama vile vitambaa na mavazi...

Rais Samia Suluhu avunja bodi ya Tanesco kufuatia kupotea kwa umeme

NA CHARLES WASONGA RAIS wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alichukua hatua ya kijasiri zaidi kwa kuvunja bodi ya Kampuni ya Usambazaji...

Jinsi Rais Joe Biden alivyonusurika gari lilipogonga msafara wake

NA MASHIRIKA WASHINGTON, MAREKANI RAIS wa Marekani Joe Biden alipelekwa upesi eneo salama baada ya gari moja nje ya safari ya...

Mudavadi asema Kenya, DRC haziko katika mgogoro wa kidiplomasia

NA TITUS OMINDE SERIKALI ya Kenya haiko katika mgogoro wa kidiplomasia na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Kinara wa Mawaziri na...

Amerika yaanza kunawa mikono kuhusu vita vya Israel ukanda wa Gaza

WASHINGTON, MAREKANI NA MASHIRIKA RAIS wa Marekani Joe Biden alisema siku ya Jumanne kwamba Israel inapoteza uungwaji mkono na mataifa...

Mwanawe Rais wa Somalia atoroka Uturuki baada ya kuua bodaboda

Na MASHIRIKA MWANA wa kiume wa Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud, Mohammed Hassan Sheikh Mohamud, aliyedaiwa kugonga na kumuua...