• Nairobi
  • Last Updated May 3rd, 2024 8:50 AM

KINAYA: Hapa kwetu, BBI na kukabili upinzani ni muhimu zaidi kuliko janga la nzige

Na DOUGLAS MUTUA MWAMBIE ‘Ouru’ atafute dawa ya nzige haraka, na asisahau pia kutafuta dawa ya Mwangi Kiunjuri. Bila shaka unajua...

Kipruto Kirwa ataka serikali itangaze nzige janga la kitaifa

Na SAMMY WAWERU MWANASIASA Kipruto Arap Kirwa ameisihi serikali kutangaza uvamizi wa ngige waharibifu kwenye mimea kama janga la...

Nzige ni chakula kizuri, wataalamu washauri

Na WINNIE ATIENO WATAALAMU wa hali ya hewa na tabianchi na wenzao wa lishe bora wamewasihi Wakenya wavune nzige waliovamia zaidi ya...

Nzige sasa wasababisha uharibifu Embu

GEORGE MUNENE na BENSON MATHEKA WAKAZI wa Kaunti ya Embu wamekumbwa na wasiwasi baada ya nzige kuvamia mashamba yao. Wadudu hao...

Nzige sasa waharibu mimea Baringo na Turkana

NA BARNABAS BII, SAMMY LUTTA na FLORAH KOECH NZIGE waliovamia sehemu mbalimbali za nchi sasa wametua katika Kaunti za Turkana na...

MAZINGIRA NA SAYANSI: Uvamizi wa nzige nchini hatari kwa mazingira na afya

Na LEONARD ONYANGO NZIGE waliovamia baadhi ya sehemu nchini waweka Kenya katika hatari ya kukumbwa na baa la njaa, magonjwa na uharibifu...

Nzige walivyotafuna kazi ya Kiunjuri

Na VALENTINE OBARA RAIS Uhuru Kenyatta hatimaye ameanza kuwatia adabu viongozi serikalini ambao wanaenda kinyume na amri yake ya kuzima...

Njaa yabisha nzige wakitua Kirinyaga

Na GEORGE MUNENE HOFU ya njaa imezuka katika eneo la kati baada ya nzige kuonekana katika kijiji cha Riandira, Kaunti ya Kirinyaga...

Serikali kutumia ndege kunyunyiza kemikali kukabiliana na kero ya nzige – Oguna

BRUHAN MAKONG na MARY WANGARI SERIKALI inatarajia kuanza shughuli ya kutumia ndege kunyunyiza takribani lita 3,000 za kemikali...