• Nairobi
  • Last Updated May 30th, 2023 2:01 PM
Kanini Kega afurushwa mkutanoni

Kanini Kega afurushwa mkutanoni

NA CHARLES WASONGA

MWAKILISHI wa Kenya katika Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) Kanini Kega jana Alhamisi alifurushwa kutoka kwa mkutano wa kisiasa na vijana wanaounga mkono Katibu Mkuu aliyeondolewa mamlakani Jeremiah Kioni.

Bw Kega, ambaye juzi alitangaza kufanya kazi na muungano wa Kenya Kwanza, chini ya Rais Ruto, aliondolewa kutoka mkutano huo jijini Nairobi.

  • Tags

You can share this post!

Kindiki amkosoa Raila kwa kutishia kuingia afisi za DCI kwa...

Wanaharakati wataka serikali ikomeshe ukataji wa miti...

T L