Tag: kipindupindu
- by adminleo
- August 13th, 2019
Watu kadha waugua kipindupindu Mandera
Na MANASE OTSIALO WATU sita wametengewa sehemu maalumu kutibiwa kipindupindu katika hospitali ya kaunti ndogo ya Takaba, Kaunti ya...
- by adminleo
- April 30th, 2019
KOLERA: Mutura na mahindi choma sasa ni marufuku
Na Steve Njuguna IDARA ya Afya katika Kaunti ya Laikipia imepiga marufuku uchuuzi wa vyakula katika kaunti hiyo kufuatia ripoti za...
- by adminleo
- April 29th, 2019
Kaunti za Nakuru na Baringo zaungana kukabili kolera
NA RICHARD MAOSI Wahudumu wa afya kutoka kaunti ya Nakuru wameweka mikakati ya kukabiliana na mkurupuko wa maradhi ya kolera...
- by adminleo
- June 11th, 2018
TAHARIRI: Serikali ijitolee kuzima gonjwa
Na MHARIRI MLIPUKO wa kipindupindu unaendelea kuenea maeneo mbalimbali nchini na kuna haja ya hatua za haraka kuchukuliwa ili kuepuka...