• Nairobi
  • Last Updated December 2nd, 2023 1:45 PM
KIKOLEZO: Mwaka mbichi ila mgumu ajabu

KIKOLEZO: Mwaka mbichi ila mgumu ajabu

Na THOMAS MATIKO

Larry King (Novemba 19, 1933- Januari 23, 2021)

ALIPATA umaarufu mkubwa kutokana na ushupavu wake wa utangazaji Marekani.

Larry King alifahamika sio tu Marekani mbali pia kote duniani, jambo ambalo sio kawaida kwa watangazajji wengi wa sasa.

Toka Septemba 2017, alipatikana na kansa ya mapafu. Lakini miaka ya nyuma 1987 aliwahi kupatwa na mshtuko wa moyo.

King aliwahi kukiri kwamba baadhi ya matatizo yake ya kiafya yalisababishwa na ulaji wa vyakula vibovu na matumizi ya vitu visivvyostahili miaka ya awali kabla ya kujirekebisha. Alifariki akiwa na umri wa miaka 87.

You can share this post!

Lissu ampa Suluhu masharti sita makali kabla kurejea TZ

RIZIKI: Mwanadada msomi anayejikimu kwa ung’arishaji wa...