• Nairobi
  • Last Updated May 17th, 2024 5:50 AM

Atumia alizeti kutatua migogoro kati ya wanyamapori na binadamu

Na MAGDALENE WANJA ALIBANDIKWA jina “mwanamaji wa Tsavo” kutokana na juhudi zake za kuwachotea maji wanyama katika Mbuga ya Tsavo...

AKILIMALI: Ajali haikuua ari yake, yeye sasa ni mkulima wa kuigwa

Na BENSON MATHEKA ALIPOHUSIKA katika ajali mbaya ya barabarani iliyosababisha apoteze mguu wake wa kulia miaka minne iliyopita, wengi...

AKILIMALI: Ajabu ya mkulima aliyeacha ufugaji wa kuku na kuanza kufuga mbwa

NA STEVE NJUGUNA KUFIKIA mwaka wa 2016, mayai yaliyoingizwa humu nchini kutoka mataifa ya nje yalikuwa yameanza kufurika katika masoko...

‘Uuzaji matunda unalipa kuliko biashara ya bodaboda’

NA SAMMY WAWERU CHINI ya utawala wa rais mstaafu Mwai Kibaki na aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, Henry Kamau alikuwa mmoja wa...

AKILIMALI: Kilimo cha nyanya ni dhahabu kwake

Na SAMUEL BAYA KILA ukulima unapochukuliwa na kuendelezwa kwa njia njema, basi unaweza kumpa mwenye kuuendeleza fursa nzuri ya...

AKILIMALI: Ufugaji wa samaki kwa njia za kisasa

Na RICHARD MAOSI SIKU hizi maendeleo ya kiteknolojia yamewezesha wakulima kuendesha ufugaji wa samaki kwa gharama nafuu bila kuchimba...

AKILIMALI: Namna miradi ya kitamaduni huandaa vigoli kuwa wanawake wa kuheshimika

Na LUDOVICK MBOGHOLI WANAWAKE Warabai wamebuni miradi kadha ya kitamaduni wakilenga kuzima ndoto za wasichana wanaovunja ungo dhidi ya...

AKILIMALI: Donge la Uyoga lapiku mahindi

Na RICHARD MAOSI ILI mkulima aweze kutengeneza hela ndefu kutokana na ukulima wa mahindi ni lazima amiliki vipande vikubwa vya ardhi na...

AKILIMALI: Vipodozi vina kazi nyinginezo za taswira na hali mbalimbali

Na MAGDALENE WANJA KWA wengi imezoeleka kwamba vipodozi hutumika kumfanya mtu apendeze ama aonekane mwenye umri mdogo zaidi. Pamoja...

AKILIMALI: Mitambo hii ndiyo jibu la matatizo yako ya kilimo

Na BRIAN OKINDA na CHARLES WASONGA WAKATI wa mafunzo ya kilimo nyanjani yaliyofanyika katika Chuo Kikuu cha Egerton, Kaunti ya Nakuru...

AKILIMALI: Ukakamavu wake katika ufugaji wa kuku umeendelea kumjenga kibiashara

Na CHRIS ADUNGO MKULIMA Augustine Kanyanya, alizaliwa katika uliokuwa Mkoa wa Magharibi katika miaka ya 90. Alipohitimisha masomo...

BONGO LA BIASHARA: Sehemu yake ya biashara ya chakula ilivunjwa, akageukia sanaa ya ubunifu

Na PATRICK KILAVUKA INGAWA alianza usanii akiwa shule ya msingi hadi shule ya upili, Geoffrey Lubia Lugaye anasema baada ya kumaliza...